Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,954
- 8,148
Ni utapeliAafu watu lazima wajue, nisipokuchangia isiwe sababu ya kununiana.!!
Watu tumegeuza kukusanya michango ya harusi Kama mradi wa kupata hela.!!
Sio kila unayemuomba lazima akuchangie.!
Kuchangisha au kuchangiwa ni kutojipangaMichango sio lazima ni hiari
Hakuna mtu anayeshikiwa mtutu wa bunduki achange ni wewe na moyo wako
Binafsi nimeshachangia harusi za watu wangu wa karibu wengi ilipofika yangu hata nusu yao hawakuchanga na skumlazimisha mtu achange
Hayo ni maamuzi kama maamuzi mengine
Mkuu ni kutokujipanga jambo lina weka historia ya maisha yako kwanini uchangishe watu kwanini usilifanye mwenyewe iwe kumbukubu nzuri ya maishaChangia harusi kama vile unatafuta eneo la 'kwenda kula bata' ukiwa na mtazamo huu haitakutesa sana
Na hapo ndipo huwa kuna changamoto,ukiwa kwenye vikao ukimuuliza muoaji una kiasi gani,anakuambia ana laki 2;halafu anataka harusi ya milioni 20,huu ni ujinga.Mkuu ni kutokujipanga jambo lina weka historia ya maisha yako kwanini uchangishe watu kwanini usilifanye mwenyewe iwe kumbukubu nzuri ya maisha
Kuchangisha au kuchangiwa ni kutojipanga
Na hapo ndipo huwa kuna changamoto,ukiwa kwenye vikao ukimuuliza muoaji una kiasi gani,anakuambia ana laki 2;halafu anataka harusi ya milioni 20,huu ni ujinga.
Haya mambo yanachangamoto zake;na pia usipowaomba michango alafu ukawaalika waje tu kula na kunywa,wengi hawatakuja zaidi watakuja waswahili swahili wale watakaotunza wali kwenye mashatiMkuu mimi binafsi nilijigharamia pas na kuweka akilini kua nisubiri michango ya niliowachangia nifanye harusi yangu hata wazo la kuchangiwa sikuliweka akilini uzur marafiki zangu wa karibu hao ndio nilianza kuwaambia siku flani naolewa na skumuomba mtu mchango wowote
Haya mambo yanachangamoto zake;na pia usipowaomba michango alafu ukawaalika waje tu kula na kunywa,wengi hawatakuja zaidi watakuja waswahili swahili wale watakaotunza wali kwenye mashati
Cha muhimu ni mtu kujipanga tu,mfano unategemea kuwa na watu 100 kila mmoja muwekee 50,000;kwa hiyo ukiwa na milion 5 yako inatosha kabisaHahaha kwanza harusi ni wewe uitakavyo ndio hua, ukiitaka kuifanya kuubwa na unajiweza unafanya tu
Mimi sikuomba na hakuna aliekuja na wote walioniahidi kuja hakuja hata mmoja na walinichangia kiroho safi wala sikumind na urafiki wetu bado upo vile vile
Sioni sababu yoyote kuchangia michango ya harusi ni utapeli. Kama ujajipanga usi oe wala kuolewa mna leta usumbufu na kadi zenu za michango.
Kuna mmoja aliniletea kadi ikibidi nimwambie hali ni ngumu sana siwezi kuchanga kaninunia mpaka Leo.