Nigeria: Watu 30 wafariki kwa shambulio la bomu wakati wakiangalia mpira

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,442
3,352
Watu wengine 40 wamejeruhiwa katika mlipuko huo uliotokea nje ya ukumbi wa Konduga uliopo Borno, Kaskazini Mashariki mwa Nigeria

Kwa mujibu wa Wakala wa Majanga ya Dharura, katika ukumbi huo Mashabiki wa mpira walikuwa wakifuatilia mechi kupitia runinga iliyopo ukumbini

Kikundi cha Boko Haram kinashutumiwa kuhusika na shambulio hilo japokuwa chenyewe hakijasema kuhusuka ila kinashutumiwa kutokana na kufanya mashambulio ya mara kwa mara kwenye maeneo hayo

Aidha, kutokana na mashambulio ya mara kwa mara ya kikundi hicho, hadi sasa kimeshaua zaidi ya Watu 27,000 na kulazimisha wengine zaidi ya Milioni 2 kukimbia makazi yao
====

At least 30 people have been killed in a suicide attack in north-eastern Nigeria, officials say.

Another 40 have been injured, according to the State Emergency Management Agency.

The bombers detonated their explosives outside a hall in Konduga, Borno State, where football fans were watching a match on television.

Jihadist group Boko Haram is being blamed for the attack, though it has not claimed responsibility for it.

It has frequently carried out bomb attacks in the state.

The group has claimed 27,000 lives and forced some two million people to flee their homes.

View attachment 1129796
_107403294_nigeriakonduga0619.jpeg
 
Siku unavishwa sanda na kupelekwa kaburini ndio utaongea vizuri, kinachokusumbua ni kibri mkuu na hakika Allah atakudhalilisha usipojirekebisha na kauli zako.
wafuasi wa allah mna matatzo sana
 
Ukute waliouawa wamo waislamu pia. Religion is an opium of the people. Full stop.
 
Nilidhani ndiyo lengo lao ili Allah awapokee kwa kufanya kazi nzuri ya kumpigania huku duniani ya kuua makafri!!
Ingekuwa hivyo basi hata huo uislamu pengine usingekuwepo maana huyo Muhammad asingehubiri uislamu angekuwa anawauwa tu makafiri hivyo asingepata waumini.
 
Ingekuwa hivyo basi hata huo uislamu pengine usingekuwepo maana huyo Muhammad asingehubiri uislamu angekuwa anawauwa tu makafiri hivyo asingepata waumini.
Waliwaua sana tu makafir labda kama hufuatilii au umeamua kutofuatilia. Ni vile tu ilifika mahala wakamshinda nguvu, wakamuua. Mungu amrehem mja wake
 
Waliwaua sana tu makafir labda kama hufuatilii au umeamua kutofuatilia. Ni vile tu ilifika mahala wakamshinda nguvu, wakamuua. Mungu amrehem mja wake
Sisemi kama makafiri hawakuuliwa ni kweli waliuliwa ila hao waliyowauwa makafiri nao pia mwanzo walikuwa makafiri hivyo kama kuuwa tu kafiri ndio kumpigania Allah basi hata hao wauwaji wa makafiri wasingepatikana maana Muhammad angepata wapi waumini(ambao ndio wauwaji wa makafiri) wakati angetakiwa kuwauwa tu.
 
Back
Top Bottom