Sharo hiphop
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 660
- 100
Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia BWANA, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; -lakini mimi na nyumba yangu, tutamtumikia BWANA.(Soma Yoshua 24:15a, 15c.)siku moja hawa watu wawili walikuwa wakisafiri kwa usafiri wao wa gari, wakiwa njiani gari lao likaisha mafuta, mwanaume akawa na wazo la kwamba mkojo unaweza ukasaidia, basi akaanza yeye, akasimama akaelekezea mrija wake kwenye tank la mafuta na gari likakubali kuwaka, walipotembea baadhi ya kilometa gari lika zima tena, wakati huu zamu ya kutoa mkojo ilikuwa ya sista na kwa kuwa wanawake hawawezi kukojoa wakiwa wamesimama padre mwafrika akamwambia lala chini mimi nitaunyonya mkojo wako kwa kutumia mrija wangu. Sista akakubali na padre aka.............................
keshaonja utamu......Sista akialala chini Padre akaanza kuingiza mrija wake kwa sista kunyonya mafuta! Baada ya hapo akaenda kukujolea tanki, safari ikaendelea!Wametembea hata KM 2 hazijaisha, Siste akamwambia Padre, Nasikia kama gari inataka kukata mafuta, ingiza mrija wako uyanyonye tenaaaa!!
utajiloanisha wewe!Nani alikwambia wanawake hawawezi kukojoa huku wame simama? ?
Hahahaha lolzKuna technic unatumiaNgoja ntakutafutia ile ya ki you tube lolzutajiloanisha wewe!
tuwekee basi mtu wetu.Hahahaha lolzKuna technic unatumiaNgoja ntakutafutia ile ya ki you tube lolz
siku moja hawa watu wawili walikuwa wakisafiri kwa usafiri wao wa gari, wakiwa njiani gari lao likaisha mafuta, mwanaume akawa na wazo la kwamba mkojo unaweza ukasaidia, basi akaanza yeye, akasimama akaelekezea mrija wake kwenye tank la mafuta na gari likakubali kuwaka, walipotembea baadhi ya kilometa gari lika zima tena, wakati huu zamu ya kutoa mkojo ilikuwa ya sista na kwa kuwa wanawake hawawezi kukojoa wakiwa wamesimama padre mwafrika akamwambia lala chini mimi nitaunyonya mkojo wako kwa kutumia mrija wangu. Sista akakubali na padre aka.............................