Sista duu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sista duu

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by kashengo, Aug 29, 2012.

 1. kashengo

  kashengo JF-Expert Member

  #1
  Aug 29, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 2,631
  Likes Received: 449
  Trophy Points: 180
  [h=6]Kidemu kinachojifanya chenyewe ni kifundi cha message za kimahaba kilimtumia bwanake message “kama umelala nirushie ndoto yako,kama unakula nirushie chakula,kama unalia nirushie machozi yako,kama unazungumza nirushie maneno yako matamu“ bwanake akamjibu “niko chooni mpenzi nakurushia M*** “[/h]
   
 2. k

  karanangwa New Member

  #2
  Aug 29, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ha ha ha ha.......ni kali sana
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Lakin yeye hakumwambia kama yupo chooni.,.......
   
Loading...