Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,715 Mar 14, 2017 #1 Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu.
Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu.
P Pagan Amum JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 1,930 Reaction score 4,412 Mar 14, 2017 #2 Itapata fedha kweli kutoka kwa wahisani?
Tabutupu JF-Expert Member Joined Nov 26, 2010 Posts 13,262 Reaction score 18,715 Mar 14, 2017 Thread starter #3 Pagan Amum said: Itapata fedha kweli kutoka kwa wahisani? Click to expand... haaaaaaa, umenichekesha sana.. bashite na gsm watafadhili..
Pagan Amum said: Itapata fedha kweli kutoka kwa wahisani? Click to expand... haaaaaaa, umenichekesha sana.. bashite na gsm watafadhili..
Wa Nyumbani JF-Expert Member Joined Mar 31, 2011 Posts 438 Reaction score 68 Mar 15, 2017 #4 Tabutupu said: Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu. Click to expand... Pombe foundation
Tabutupu said: Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu. Click to expand... Pombe foundation
M mliberali JF-Expert Member Joined Jul 13, 2012 Posts 12,344 Reaction score 15,278 Mar 15, 2017 #5 Tabutupu said: Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu. Click to expand... pamoja na sheria mbovu ya matumizi ya mitandao huyo Dr.wa maganda ya korosho atapata wakati mgumu kuliko hata mtangulizi wake
Tabutupu said: Inategemewa kuzinduliwa mwaka 2026. Itajikita kwenye upendo kwa jamii . Itapigania elimu na kupinga vitendo viovu kama matumizi ya vyeti vya wengine kujipatia ajira. Itatetea pia wanyonge na wanao Sema ukweli maana hao ndio wapenzi wa Mungu. Click to expand... pamoja na sheria mbovu ya matumizi ya mitandao huyo Dr.wa maganda ya korosho atapata wakati mgumu kuliko hata mtangulizi wake
Rais2020 JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 3,248 Reaction score 5,539 Mar 15, 2017 #6 Tanzania kwa Mara ya kwanza inapata Rais mbovu kabisa