Isaac JK
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 563
- 92
sisi wote ni watoto wa baba mmoja
hizi itikadi za kidini zisitutenge na kutugawa
siku MUUMBA atakapo tuuliza sababu za kuyumba kiimani wakati MUNGU wetu ni mmoja
tutajibu nin
Ndugu zangu wakristo na waislamu tukumbuke hapa diniani tunapita
binadamu ni mavumbi na tutarudi mavumbini
hizi vita na ugonvi wa nini hebu tuthamini maisha na amani tuliyopewa na mwenyezi MUNGU
NAWAOMBA TUDUMISHE DEMOKRASIA YA KIIMANI NA TUACHE USHABIKI WA KIIMANI