Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,401
- 58,961
Wee thubutu...alafu uingie ndan kwa nan???
Ndani kwa atakapoingia huyo wifi mwenye nyama zake..
Wee thubutu...alafu uingie ndan kwa nan???
Sasa wahisi ni Nani huyo?Sina hakika kama ni wewe
Ewaaaaa , njoo sasa uingie, njoo chap sijafunga mlango
Ndani kwa atakapoingia huyo wifi mwenye nyama zake..
Nifanyeje ili nithibitisheSasa wahisi ni Nani huyo?
Ewaaaaa , njoo sasa uingie, njoo chap sijafunga mlango
wacha kabisa, yajikoni ni matamu sana yanashinda kwengineko
Nimecheka Sana..chizi Sana wewe
Usifanye chochote mkuuNifanyeje ili nithibitishe
Mimi ni Thomaso mpaka nishuhudie ...uwahi kule basi
Ila nimekuwa ka mtu kembamba ujue
wacha kabisa, yajikoni ni matamu sana yanashinda kwengineko
Endelea kua thomaso tu.Mimi ni Thomaso mpaka nishuhudie ...uwahi kule basi
Basi kama huna baby face utakuwa na bibi faceSasa mbona kibonge Mimi Sina babyface..
ha ha ha kwa niniUsifanye chochote mkuu
Hahaaha wee wanijua situmii kilevi , labda km wee ni kilevi basi nianze kulevywa nawewe
Kwani leo umekunywa kilevi gani eti?