Sisi wanaume wa shoka hizi ndo zetu

nakuja pm
Vimodo wenzangu afu nyuma tumebinuka flan hivi kiaina then chuchu msumari, tumbo flat, say yeeeah!!! Naupenda sana mwili wangu jamani ain't nobody can turn me down. Mbaki na hao vibonge wengi game sekunde 10 tu washaomba pooo na kuvuta dumu la maji.
 
Demu ambaye hana mazoezi na kufuga Minyama uzembe kama hao sifagilii kabisa. Mtu ni afya bana sio unakuwa na limwili kama mdudu Noah
 
Vimodo wenzangu afu nyuma tumebinuka flan hivi kiaina then chuchu msumari, tumbo flat, say yeeeah!!! Naupenda sana mwili wangu jamani ain't nobody can turn me down. Mbaki na hao vibonge wengi game sekunde 10 tu washaomba pooo na kuvuta dumu la maji.
 
Kuna rafiki yangu alichukua bonge la jimama, nikamuuliza mkuu utaweza kunyanyua kile chuma,
Akasema zile ndio size zangu.

Inavyoonyesha jamaa alitumia nguvu nyingi sana baada ya masaa 5
Nikasikia jamaa Ni R.I.P.
Duh baharia akasepa na ubaharia wake, so sad.
 
Kuna kijana katengua kiuno kwa masemi trela
Yupo hospital hadi sass
Wembamba na awe mrefu maji ya kunde utainjoy na hatengui kiuno
 
Na joto la Dar hao ni kuvuja maji tuu kitandani minyamanyama km yote na akivua nguo ndo hamu inakata kbs ziwa limekaa km tako yaani balaa tupu wengi wao wavivu kitandani yaani gogo ukimpiga kimoja tuu hataki tena
 
Back
Top Bottom