Sisi wanaume wa shoka hizi ndo zetu

Sijambo kiasi, bado nahema kwa shida... Nimeamkia machungwa, tangawizi na asali...

Na hii hali ya hewa natamani nipelekewe moto tuu labda ntakaa sawa....
Have a speedy recovery....

Hali ya hewa ipoje
 
Have a speedy recovery....

Hali ya hewa ipoje

Thank you Sukarii...

Hali ya hewa inanyemvua wakati kuhema kwenyewe kwa manatii, najitafutia nini sijui walaah.... Mahaba hayaa.... Eehehehehe
 
Back
Top Bottom