Sisi wakazi wa manispaa ya Iringa tumeambiwa jumatatu hakuna kwenda makazini wala mashuleni bali tukutane Samora kuanzia saa mbili asubuhi

Mkutano wa Mgombea Urais mnamtangaza Kondeboy atakuwepo,yaani huyo ndiyo mgeni rasmi?CCM ya sasa imelegea hadi huruma.Bila kumtaja huyo Konde wenu watu hawahudhurii mkutano?
 
 
kwahiyo ni mwendo wa
 
HATA huku same hivyohivyo usipoenda kazi huna
 
Siamini kama haya maneno yako ni ya kweli!
Samahani, nje ya mada. Vipi ule MDAHALO akiwemo na Rais wa Ghana, ulifanyika?
 
Kwa hiyo mna jambo lenu na konde boy siyo?Sasa nimeamini CCM imekufa yaani
Lkn mambo haya ndo yanatakiwa yakemewe na tume,......na hapo ndo utajuwa kuwa tume na msajili wapo kudhibiti vyama vya upinzani, CCM hawaiwezi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…