Sisi wahamiaji wa Dar es Salaam tuanze kuwaenzi wenyeji wetu wazaramo

Sultan wa Zanzibar. Kumbuka Dar yenyewe ni part ya Zanzibar.

Kihistoria wabantu ni wageni (wakuja) pwani ya Afrika Mashariki, walipokuja walikuta wenyeji. Jiulize ni akina nani hao wenyeji kama wabantu ni wakuja?
Kwahiyo wazanzibari ndiyo wenyeji halisi wa dsm? Ndicho unacho jaribu kusema sio? Na kwanini historia hii haiwekwi bayana? ( Hapa usianze kuhorojeka kumtupia lawama Mwl.Nyerere) Tusaidie facts sisi vijana kiazazi cha mzee mwinyi/mkapa!
 
Nakushauri, soma.

Una maktaba kubwa sana kuliko ya chuo chochote duniani kwenye kiganja chako.

Utaposoma usistaajabu kukuta hata panapoitwa leo Tanganyika au Congo au Kenya au Somalia au Msumbiji kwa wakati fulani palikuwa Zanzibar au himaya ya Zanzibar.

Nimekuelewaa, tuwache habari za marehemu mzee Nyerere kwa sasa kwani hata yeye ni wakuja na alikuta tayari Dar Es Salaam kuna wenyeji waliompokea.
 
Tunapowaenzi Wazaramo tusisahau pia kuwaenzi Wazanzibari kwani Sultan Majid wa ZANZIBAR ndiye alilianzisha jiji la Dar Es Salaam.

Kumbuka: Jina la Dar Es Salaam linatoka kwenye Qur'an 6:127
Duuuuu kumbe ni jiji la kiislam
 
Write your reply...
mila yao ya kigodoro ni nzuri sana, sijui linani lilipiga marufuku, nahisi nili-bashite..
 
Habari wana JF

Hawa watu ni watu wema kabisa, wametukaribisha Dar es Salaam wengine wazazi wetu wakija na matongotongo kwa kauli ya Hayati Ditopile Mzuzuri. Nafikiri ni wakati wetu kurudisha fadhila, kuzienzi mila zao (siyo mdundiko, kigodoro na kucheza mwali) bali mila nzuri na pengine kuwa na kumbukizi ya zaramos

Kama unauona umuhimu huu basi tupia wazo lako, vinginevyo tulia tu sabuni bei gali utamaliza mapovu
yaani mlichotufanya sio kizuri...mmetufukuza mjini...wachache tuliokaza tumebaki kuwa makondakta na madalali.......
 
Tunapowaenzi Wazaramo tusisahau pia kuwaenzi Wazanzibari kwani Sultan Majid wa ZANZIBAR ndiye alilianzisha jiji la Dar Es Salaam.

Kumbuka: Jina la Dar Es Salaam linatoka kwenye Qur'an 6:127
Dada angu hebu nenda kasome tena hapo uliposoma halafu uniambie Dar es salaam imetajwa wapi.
 
Dada angu hebu nenda kasome tena hapo uliposoma halafu uniambie Dar es salaam imetajwa wapi.

Qur'an 6:127
لَهُمْ دَارُ السَّلَامِ عِندَ رَبِّهِمْ وَهُوَ وَلِيُّهُم بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ

Hao watapata nyumba ya salama kwa Mola Mlezi wao. Naye ndiye Rafiki Mlinzi wao kwa sababu ya waliyo kuwa wakiyatenda. 127
 
Mzaramo aweza kuwa wa kisiju, Manerumango, mvuti, n.k maeneo ambayo yapo ktk Wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom