Sisi waafrika ni wajinga wa chakula

Sisi waafrika ni wajinga wa chakula

Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.

Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?

Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.

Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.

Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.

Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.

Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.

Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.

Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.

Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
Ukweli Mtupu.

Tatizo ni ujinga wa kutokujua wala sio pesa.

Mtu anaingia mahali anavuka vibanda ambavyo vina matango, machungwa na maembe yaliyolimwa hapa nchini bila kemikali lakini anakimbilia juice za viwandani zenye kemikali au soda.

Mfano chungwa ni moja kwa sh. 100 lakini unakuta Mtanzania ananunua fanta ya sh. 500 ambapo angekula machungwa matano angekuwa ameongeza vitamin ya kumwongezea immunity.
 
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.

Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?

Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.

Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.

Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.

Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.

Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.

Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.

Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.

Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
Unasemaje ? HakiElimu
 
Ili uone Waafrika ( na hasa Watanzania ) baadhi ni Washamba kuna Siku moja nilipita pale Mwenge kwa wale Vijana wauza Matunda Mchanganyiko katika Sahani iliyokuwa na Ndizi, Embe, Nanasi, Papai, Parachichi na Tikiti Maji ambayo ilinigharimu kama Tsh 3,500/ au Tsh 4,000/ hivi kwani nilimwambia aniongezee Matunda mengine na cha Kushangaza walinipita Majamaa fulani hivi ambao niliwaona wakitoka Kununua Chips Kavu zilizowekwa ' Mayonaizi ' zenye Thamani ya Tsh 1,500/ na wakawa wanapita mbele yangu na Kuniona Mwanamume nakula Matunda yangu hayo wakawa wananicheka na kuniteta kuwa nimeishiwa ( nimepigika ) Kimaisha na ndiyo maana sikununua Kiepe Solo ( Chips Kavu ) kama Wao ndipo nikaamini kuwa kuna Watu si tu ni Washamba bali pia ni Wapumbavu Waandamizi kabisa.
tanzania tuna lack of education!
 
Kuna wadau wanaona kama imeongea ukweli ila binafsi yangu naona hujuu unachokiongea,swala la chakula linatokana na utaratibu wa kila watu katika taifa fulani.
Chakula hakina uhusiano wowote na akili ni uongo mtupu kama Mungu alitaka tuwe na akili kuliko hao wachina basi ingekuwa hivyo.kuna familia hapa hapa Tanzania hawali ugali na wanazingatia hivyo vyakula ulivyo vitaja hapo juu but hawana akili hata 1.
Umetolea mfano wa wachina,kwa taarifa yako katika mataifa ambayo watu wake wana akili hao wachina hawapo na hawajawi kuwepo.
Umasikini wa kihali na kiakiri wa waafrika unatokana na Muumba aliyetuumba-ambapo zikaja sababu za kihistoria.
Kwamba Mwenyezi Mungu katunyima akili?
Ebu fafanua vizuri chief hapo.
 
Kama lengo ni protini, unaweza kuipata kwenye vyakula vingine.... kwanini uhangaikie protini ya mahindi tu au ina uspesho gani..?
Ugali ni staple food, ni chakula ambacho Watanzania wanakula kuliko chakula kingine chochote.

Na mahindi yanakuja na protini, na hivyo vyakula vingine kama nyama kwa mfano, watu wengi hawamudu kununua.

Kwa hivyo, ni muhimu kutumia protini ya mahindi, ambayo tunaitupa tunapokoboa.

Suala hapa si u special wa protini ya mahindi, suala ni kutumia chakula kiuchumi na kuhakikisha tunatumia protini yoyote tunayoipata.
 
Hawatakuelewa, sababu ishakua utamaduni...

Binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Cc: mahondaw
 
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.

Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?

Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.

Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.

Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.

Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.

Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.

Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.

Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.

Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
uko sahh kabisa yaan "YOU ARE WHAT YU EAT"
 
Mma ujobhile amasyu agho malafyale,khuti. Ujobhile inongwa isyo ghwituuu,singolile kundumbula. Mweee mwe mweeeee...! Momumo
 
Back
Top Bottom