Sisi waafrika ni wajinga wa chakula

Sisi waafrika ni wajinga wa chakula

Kuna wadau wanaona kama imeongea ukweli ila binafsi yangu naona hujuu unachokiongea,swala la chakula linatokana na utaratibu wa kila watu katika taifa fulani.
Chakula hakina uhusiano wowote na akili ni uongo mtupu kama Mungu alitaka tuwe na akili kuliko hao wachina basi ingekuwa hivyo.kuna familia hapa hapa Tanzania hawali ugali na wanazingatia hivyo vyakula ulivyo vitaja hapo juu but hawana akili hata 1.
Umetolea mfano wa wachina,kwa taarifa yako katika mataifa ambayo watu wake wana akili hao wachina hawapo na hawajawi kuwepo.
Umasikini wa kihali na kiakiri wa waafrika unatokana na Muumba aliyetuumba-ambapo zikaja sababu za kihistoria.
👍
 
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine. Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao? Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao. Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku. Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa. Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.
Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.
Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.
Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana. Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
Nyama yenyewe tu usipokula utaitwa maskini wa kutupwa(huna hela) kwa masimango juu, kweli kukosa akili ni mzigo mkubwa sana[emoji847]

Jamani protini za nyama zaweza kupatikana kwenye mahararagwe, soya, maziwa, maparachichi na hata mboga za majani, acheni kukariri maisha ya zamadamu [emoji1787]
 
Ili uone Waafrika ( na hasa Watanzania ) baadhi ni Washamba kuna Siku moja nilipita pale Mwenge kwa wale Vijana wauza Matunda Mchanganyiko katika Sahani iliyokuwa na Ndizi, Embe, Nanasi, Papai, Parachichi na Tikiti Maji ambayo ilinigharimu kama Tsh 3,500/ au Tsh 4,000/ hivi kwani nilimwambia aniongezee Matunda mengine na cha Kushangaza walinipita Majamaa fulani hivi ambao niliwaona wakitoka Kununua Chips Kavu zilizowekwa ' Mayonaizi ' zenye Thamani ya Tsh 1,500/ na wakawa wanapita mbele yangu na Kuniona Mwanamume nakula Matunda yangu hayo wakawa wananicheka na kuniteta kuwa nimeishiwa ( nimepigika ) Kimaisha na ndiyo maana sikununua Kiepe Solo ( Chips Kavu ) kama Wao ndipo nikaamini kuwa kuna Watu si tu ni Washamba bali pia ni Wapumbavu Waandamizi kabisa.
Chai iliyozidishwa tangawizi kali sana hii [emoji56]
 
We nae umetupiga kamba kwenye bei. Bei huwa ni 1000 au 2000 hata kwenye hotels ni 2000 kwa sahani ya matunda.
Na sidhani kama mtu anaweza pita na kianza kukusema labda kama mmekaa pamoja au wewe ulikuwa wawafatilia wao
 
Kuna mwalimu wangu mmoja aliniambia ni watanzania asilimia 5 tu wanaokunywa chai ya maziwa. Waliobaki wanakunywa chai ya rangi ya maziwa.
Kwa maziwa haya ya ng'ombe atoaye lita 25 za maziwa ni heri waendelee tu kunywa hizo chai za rangi maana ni kemikali tupu wala hakuna maziwa hapo zaidi ya kujiua.
 
Kuna wadau wanaona kama imeongea ukweli ila binafsi yangu naona hujuu unachokiongea,swala la chakula linatokana na utaratibu wa kila watu katika taifa fulani.
Chakula hakina uhusiano wowote na akili ni uongo mtupu kama Mungu alitaka tuwe na akili kuliko hao wachina basi ingekuwa hivyo.kuna familia hapa hapa Tanzania hawali ugali na wanazingatia hivyo vyakula ulivyo vitaja hapo juu but hawana akili hata 1.
Umetolea mfano wa wachina,kwa taarifa yako katika mataifa ambayo watu wake wana akili hao wachina hawapo na hawajawi kuwepo.
Umasikini wa kihali na kiakiri wa waafrika unatokana na Muumba aliyetuumba-ambapo zikaja sababu za kihistoria.

Kwamba Mungu anaupendeleo?

Kwamba Mungu ni mbaguzi?

Wengine kawapa akili, wengine hakuwapa. Why katuonea waafrika? Kwani tulikosa nini?
 
Eti ugali unatia nguvu...[emoji23][emoji23]
Bingwa wa kula ugali TZ nzima ni mimi hapa kwa nafaka zisizokobolewa "ulezi + uwele + mchele + ngano + mahindi + mtama" isipokuwa mchele tu lakini huwa sisahau kula matunda au juisi ya matunda isiyochujwa.

Mboga kuu sana kwangu ni samaki + mboga jamii za mbegu + mboga mboga(vegitable) bila kusahau kunywa maji lita 4 - 5 kwa siku.

So ugali siyo dhambi kula lakini pawepo na mpangilio sahihi kwa namna ya kuula kiafya zaidi.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji85][emoji85]
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine. Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao? Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao. Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku. Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa. Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.
Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.
Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.
Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana. Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
 
Kuna wadau wanaona kama imeongea ukweli ila binafsi yangu naona hujuu unachokiongea,swala la chakula linatokana na utaratibu wa kila watu katika taifa fulani.
Chakula hakina uhusiano wowote na akili ni uongo mtupu kama Mungu alitaka tuwe na akili kuliko hao wachina basi ingekuwa hivyo.kuna familia hapa hapa Tanzania hawali ugali na wanazingatia hivyo vyakula ulivyo vitaja hapo juu but hawana akili hata 1.
Umetolea mfano wa wachina,kwa taarifa yako katika mataifa ambayo watu wake wana akili hao wachina hawapo na hawajawi kuwepo.
Umasikini wa kihali na kiakiri wa waafrika unatokana na Muumba aliyetuumba-ambapo zikaja sababu za kihistoria.
Nakubaliana na wewe 100% mbona vijijini kuna matoto mengi tu tena mengine tulisoma nayo lakini yana akili hatari kichwani mpaka rafiki yangu mmoja ni daktari bingwa Russia na mwingine yuko BOT kikazi?
 
Huu uzi haueleweki kila mtu anaongea lake ila mleta mada anaonekana hapendi ugali,ila nachojua suala la nguvu kwenye michezo linazingatiwa sana na wenzetu na ndiyo maana tukienda kucheza na wenzetu tunaonekana kabisa mlo mdogo hatuna nguvu.
 
MTOA MADA JARIBU KULA MAPAPAI ASUBUHI IWE MBADALA WA CHAI HALAFU UONE YANAVYOLETA MSISIMUKO.
Ila kwakweli tumekulia katika mifumo hiyo,binafsi kama sijala ugali au wali ninaweza nikatangaza sijala kabisa. Na ninaelewa mtu akisema "nimekula", akili yangu inaniambia ugali au wali.
 
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.

Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?

Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.

Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.

Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.

Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.

Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.

Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.

Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.

Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
weka mbadala wake sasa mtu akiacha ugali ale nn na nn ? sio aache ugali arukie wali ni yale yale
 
Huu uzi haueleweki kila mtu anaongea lake ila mleta mada anaonekana hapendi ugali,ila nachojua suala la nguvu kwenye michezo linazingatiwa sana na wenzetu na ndiyo maana tukienda kucheza na wenzetu tunaonekana kabisa mlo mdogo hatuna nguvu.
Didie Drogba Vs Mrisho Ngasa [emoji28]
 
Back
Top Bottom