tumejijengea utamaduni mbaya tu, jamii zote hazikupata utajiri ghafla, kwanini sisi tangu na tangu ni mivyakula ya nguvu tu? Wakati stanley anasafiri kutoka Zanzibar kwenda ujiji anasema alikua anatembea na waafrika wamebeba ugali.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna mwalimu wangu mmoja aliniambia ni watanzania asilimia 5 tu wanaokunywa chai ya maziwa. Waliobaki wanakunywa chai ya rangi ya maziwa.
Kwa wafuatiliaji wa mambo, nadhani wamesikia takwimu ya mwaka huu kuhusu mikoa inayoongoza kwa watu wenye udumavu wa akili nchini.. Mikoa inayoongoza ni ile inayotumia mahindi kama chakula kikuu, binafsi ugali ni vile wakati mwingine hakuna namna.. Ifahamike mahindi sio zao la asili ya Afrika, ni kutoka bara la Amerika. Kwa wasio jua, fungua Google uone kiwango cha mahindi kinachotumika na mwanadamu katika nchi zilizoendelea. Utajua kama ni chakula cha binadamu ama mifugo...Aisee Kweli kabisa hapa Mimi nipo zangu Thailand huku mahindi ni chakula cha mifugo Sio binadaam. Kwa binadaam mahindi hutumika kama Kwa kiasi kidogo Sana yaani wao mahindi sanasana ni ya kuchoma. Huku protein inakuwa considered kama chakula muhimu Sana tena animal protein mayai, nyama, samaki, n.k. watoto wadogo unakuta wana akili nyingi na ni more intelligent. Watanzania inabidi ifike mahali tubadilike. Mimi nimeshaacha Kula maugali ni ulimbukeni.
[emoji1787][emoji1787] Chakula hakiwekwi chumvi, sukari, mafuta... yaani ni maji tu, nayo sababu yako bwelele.. Kama kuna chakula chenye sifa hizi duniani zaidi ya ugali sijui... labda kipo...Eti ugali unatia nguvu...[emoji23][emoji23]
Wewe ni mjingaKwa maziwa haya ya ng'ombe atoaye lita 25 za maziwa ni heri waendelee tu kunywa hizo chai za rangi maana ni kemikali tupu wala hakuna maziwa hapo zaidi ya kujiua.
Sasa hapo mbona umechenganya vitu sawaBingwa wa kula ugali TZ nzima ni mimi hapa kwa nafaka zisizokobolewa "ulezi + uwele + mchele + ngano + mahindi + mtama" isipokuwa mchele tu lakini huwa sisahau kula matunda au juisi ya matunda isiyochujwa.
Mboga kuu sana kwangu ni samaki + mboga jamii za mbegu + mboga mboga(vegitable) bila kusahau kunywa maji lita 4 - 5 kwa siku.
So ugali siyo dhambi kula lakini pawepo na mpangilio sahihi kwa namna ya kuula kiafya zaidi.
Kibaya zaidi, ugali watu wengi wanakula wa mahindi ya kukobolewa. Katika kukoboa tunaondoa virutubisho na kubakiza wanga tu.Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.
Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?
Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.
Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.
Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.
Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.
Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.
Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.
Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.
Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
👍Kibaya zaidi, ugali watu wengi wanakula wa mahindi ya kukobolewa. Katika kukoboa tunaondoa viritubisho na kubakiza wanga tu.
Ugali, hususan wa mahindi ya kukoboleea, ni chakula chenye energy tu bula virutubisho.
Bora hata ugali wa dona una protein.
labda alipiga zaid ya plate mbili za matunda.We nae umetupiga kamba kwenye bei. Bei huwa ni 1000 au 2000 hata kwenye hotels ni 2000 kwa sahani ya matunda.
Na sidhani kama mtu anaweza pita na kianza kukusema labda kama mmekaa pamoja au wewe ulikuwa wawafatilia wao
Moja kati ya mambo ambayo hatupo nayo makini kama waafrika ni msosi. Sijui ni nani aletuambiaga vyakula vinavoongeza nguvu ndo vya maana kuliko vingine.
Watu wanaokula ugali wanaonekana wa maana kuliko watu wa vyakula vingine. Hivi hatujiulizi kama ugali ungekuwa wa maana nchi zilizoendelea si zingechukua na kufanya moja ya chakula chao?
Katoto kadogo hata mwaka mmoja hakajafika vizuri unakatwanga uji, na ugali wa sembe kwa mbali. Ndomana akili zimedumaa, tuchina ni lege lege kweli lakini akili kibao.
Mi sijui hizo nguvu zinatusaidia nini wakati hata kwenye michezo hatufanyi vizuri.
Tunafundishwa masuleni, watoto wadogo wanatakiwa kula sana na kula protein kwa wingi, lakini sisi sasa uji ndo tunaona wa maana na kumfanya mtoto ale mara tatu tu kwa siku.
Wakati tumbo dogo manake linawahi kumeng'enya hivo linahitaji mlo mara nyingi zaidi kuliko tumbo kubwa.
Uji wa mahindi umejaa wanga, sukari ndo carbohydrate yenyewe sasa sijui tunakuza nguruwe. Tuna choroko, maharage, kunde na proteins nyingi kweli lakini kazi ni kuuzia wahindi, sisi wala.
Tuache ujinga vyakula vya kuongeza nguvu vitatufanya tuwe watumwa mpaka mwisho wa dunia.
Inawezekana maendeleo yetu yanashabihiana sana na aina ya vyakula tunavyokula.
Kama unasoma uzi huu, wewe umechelewa ila hakikisha kizazi chako kinaachana na ugali na vyakula visivyomaana.
Nasisi tupate kizazi cha teknolojia kama India na Asia mashariki jamani, achaneni na mavyakula yasio maana.
Wewe unatakiwa urudi shule kama hujui chakula kinachangia kuwa na akiliKuna wadau wanaona kama imeongea ukweli ila binafsi yangu naona hujuu unachokiongea,swala la chakula linatokana na utaratibu wa kila watu katika taifa fulani.
Chakula hakina uhusiano wowote na akili ni uongo mtupu kama Mungu alitaka tuwe na akili kuliko hao wachina basi ingekuwa hivyo.kuna familia hapa hapa Tanzania hawali ugali na wanazingatia hivyo vyakula ulivyo vitaja hapo juu but hawana akili hata 1.
Umetolea mfano wa wachina,kwa taarifa yako katika mataifa ambayo watu wake wana akili hao wachina hawapo na hawajawi kuwepo.
Umasikini wa kihali na kiakiri wa waafrika unatokana na Muumba aliyetuumba-ambapo zikaja sababu za kihistoria.
Ugali, hususan wa mahindi ya kukobolewa, ni chakula chenye energy tu (starch) bila virutubisho.
Bora hata ugali wa dona una protein.