Mirhea
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 815
- 1,380
wewe ndio umesema, watu wengi humu wana matatizo na ni wabinafsi kupita hata hao viongozi wa CCM wananowachukia, kusema ukweli likija kwenya swala la barabara hakuna mtu anayetufikia ktk hizo nchi zote za AM nimesafiri sana Kenya mpaka Turkana nimefika, hakuna barabara kabisa, sisi karibu nchi yetu yote inaunganishwa na lami, lakini watu wa JF wanataka tu waone flyovers Dar ndio waridhike, kama sio ubinafsi ni nini? Kwani sisi serikali yetu ingesema hatujengi barabara mikoani tunajenga flyovers Dar wangeshindwa?
Ingekia ubinafsi na rushwa havijatawala, flyovers zingejengwa dar pamoja na majiji mengine na bado barabara za kawaida pia zingeendelea kujengwa sehemu nyingine.