Sure😆 mimi ni mlevi ila naonaKuna kitu hakipo sawa,
This is not normal.
Fault, error, or unwanted situation exists here.Sure😆 mimi ni mlevi ila naona
Bwashee umeshanichanganya na kizungu 😅Fault, error, or unwanted situation exists here.
Mimi naingia vipi kwenye upuuzi wako? Kuna sehemu nmeandika au Kuna siku nmekuzuia kuanzisha nyuzi zako?Ambacho hakija eleweka katika post hii ni kipi?
Mbona watu mnakuwa wajinga...
Post iko so clear, kabisa. Mbona mnakuwa vichonganishi na watu msio na uwezo wa kifikra..
Kwa hiyo mimi kuandika hivyo, ndo nimetaka attention? Alaf mtu akiweka post sensitive mna aki kimya hamweki comments constructive. Mm naona nyie ndo Mna shida na hamna akili yenye utulivu
The Icebreaker Seran Binti wa zamani min -me nyie wote mna majungu binafsi na mnacho interpret kila siku ni negativity tu.
Live your own life, don't project your own sense of unworthiness to other people
siku unapoona hivyo jua wote wanaochangia wamelewaKuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako..
Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi..
So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as you do. What may resonate always comes naturally.
I love writing, I love creating.
JF na mimi dam dam
Usinitaje sasa kwenye habari zako, nmereact au nmekujibu ulitaka nikubembeleze au?Mbona una react kama hauhusiki? Na sijasema hivyo, angalia nilicho andika
Ku post thread kila siku ili mradi u post tu ni sehemu ya mtu kujipa umuhimu asio nao.Kuna siku mambo yanagoma kabisa, unaandika hakuna anaye engage na post zako..
Kuna siku unaandika kitu ambacho hata unajua hakiweza pata engegement, then kinnageuka kuwa na wachangiaji wengi..
So, by knowing that... Hauhitaji kuona kuwa people don't care, ni vile not everyone is thinking as you do. What may resonate always comes naturally.
I love writing, I love creating.
JF na mimi dam dam
Je, wataka kunibembeleza?Usinitaje sasa kwenye habari zako, nmereact au nmekujibu ulitaka nikubembeleze au?