Sisi tukiona hivi huwa tunakula tu!!!

Sisi tukiona hivi huwa tunakula tu!!!

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,291
Reaction score
6,693
upload_2016-9-28_9-19-19.png
 
Huo unakula na ganda lake mana lina uji uji kwa ndani
 
Mi' nayapendaga kishenzi,hayana maji hayo.
Unakula mpaka unasinzia.
 
Hivi hili ni embe dodo... boribo... sikiolapunda... mviringe.... moa.... ng'ongo.... sindano... au sikiolamwewe??!...
 
Haya ndio yale Maembe yasiyo na kokwa ndani ...........???
 
Yaani siku hizi...
1. Maembe ya mwendokasi
2. Nazi za mwendokasi
3. Kuku wa mwendokasi
4. Matikiti ya mwendokasi
5. etc etc za mwendokasi
Ndiyo maisha yetu kwa sasa.......yani mpaka nyanya za mwendokasi.
 
Back
Top Bottom