Sisi Sote ni Ndugu

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
57,738
92,160
Hata kama tuna tofauti za kiitikadi kamwe hatuwezi kuondoshwa kwenye ukweli wa kubaki kuwa ndugu. Mjulisheni hilo
IMG_20170314_131800_622.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mimi siwezi kuwa na ndugu ccm!

Ichukie CCM lakini wanachama wa CCM ni binadamu.Tunatakiwa tuonyeshe tofauti zetu za kuwa mpinzani na kada.

Nafikiria labda Mwenyekiti wa CCM ndiye aliyewatuma UVCCM wale wakavunje vioo na kumpiga Mbunge wa Upinzani(CHADEMA) ni aibu sana.
 
Mimi naichukia ccm pamoja na wanaccm wote, I cannot love evil people!
 
Ichukie CCM lakini wanachama wa CCM ni binadamu.Tunatakiwa tuonyeshe tofauti zetu za kuwa mpinzani na kada.

Nafikiria labda Mwenyekiti wa CCM ndiye aliyewatuma UVCCM wale wakavunje vioo na kumpiga Mbunge wa Upinzani(CHADEMA) ni aibu sana.
Huenda mambo mengi mabaya yakapata Baraka zake
 
Ni Binadamu tu,huna haja ya kuwachukia,kwa maana hautakuwa tofauti na Mwenyekiti wao.
Katika hili basi mimi nimesha-fail! Shida yangu ni kuwa mimi ccm huwa naichukulia kama mbadala wa shetani kwa hiyo inaniwia ngumu sana kumpenda shetani!
 
Ubaya au uzuri wa watu wenye chuki na visasi kama wewe huwa Sumu ya chuki inawamaliza ndani na kufumua magonjwa kama kisukari,HBP na mengineyo.
Kwa hiyo mtakatifu sana Pogba atakuwa anasumbuliwa sana na kisukari, HBP pamoja na magonjwa mengineyo kwa sababu kama kuna kipimo cha chuki, visasi na kinyongo, basi ni mtakatifu sana Pogba!
 
Katika hili basi mimi nimesha-fail! Shida yangu ni kuwa mimi ccm huwa naichukulia kama mbadala wa shetani kwa hiyo inaniwia ngumu sana kumpenda shetani!
Usikfike huko Mpwa, pole najua watakua wamekuudhi sana sana ila nakuomba huko usifike, msinde shetani kwa wema
 
Hawa majuha walikuwa na sababu gani ya kumtenganisha Lema na familia yake kwa miezi minne wakati wezi wa vyeti wakina Daudi Albert Bashite wako huru tu mtaani? Ni ngumu sana kuwapenda hawa watu aisee!
 
Back
Top Bottom