Sisi ndo wanaume bwana!

Sisi ndo wanaume bwana!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,339
Reaction score
16,798
huyu ni nani hapa jfs
555772_10151640725195695_2004185747_n.jpg
 
mkuu ilikuwaje tena!!angalia hao jamaa wameshika mpini eti

waache washike tu bana!! kuna raha gani sasa kuwa JF wakati hupati notifications kama uko quoted ama mentioned?

yani unakuwa km una-type microsoft word bana!!!

nimeshareport tatizo mara kibao sipatiwi ufumbuzi!!

notifications zinakuja baada ya saa moja! inaboa!
 
pole, hope jamaa watalishighurikia!
 
Amavubi ni aliyebebwa au kubeba mkuu bysange?
 
Back
Top Bottom