Sisi ndiyo wenye nchi,mwaka huu mtakoma

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
sisi wnye Nchi ndo tunao andamana kushirikiana na watetezi wetu CHADEMA.walaanio maandamano ni wafuasi wa mafisadi.
 
CCM wanachanganyikiwa zaidi kutokana na kuona mabadiriko yanayotokea nchi zingine kutokana na nguvu za wananchi.


Na mbaya zaidi siku watapotoka madarakani watakuwa na kesi nyingi sana kujibu.Wengi wao watafilisiwa.
 
sisi wnye Nchi ndo tunao andamana kushirikiana na watetezi wetu CHADEMA.walaanio maandamano ni wafuasi wa mafisadi.

Kama wenye nchi ni baadhi tu ya watu wanaoishi ukanda wa Magharibi na Kaskazini, mtajiju!!!!!
 
Mh! Humu ndani kuna great thinkers na "Great Stinkers",,,,
Nilikuwa napita fasta wakuu
 
Wanaolalamika waende Ikulu wakatupe pesa zote zilizoibiwa na kuzipeleka Muhimbili kuwasaidia wa Akina Mama Wajawa Uzito.

c
cm mngekuwa mnafanya kazi ya Watanzania maandamano yangetoka wapi?
 
Back
Top Bottom