Sisi ndio wanaume bwana!

Namba tano Babu,mbona kutuweka wajukuu zako roho juu juu?au ina apply kotekote?
Hahahaha...usihofu. Mwanaume wako kama ni mwanaume wa ukweli, wala hutajua.
 
Haaa haa!'
Asante babu,
Hivi hiyo ya kwako hapo kwa kwa mfano hako ka laptop kakiondolea itakuwaje lol!
Sijui ulifikiria nn wakati unaichagu alafu ww ni mbabu dah!
Kakidondokea nini? Au nisome katikati ya mistari?
 


nataman sana wanaume hawa wangekuwepo ....wengi wanaishia kulist tuu sifa za wanaume wakati wenyewe wanaojifanya wanaume hawafanyi yale waliyoyaandika wengi wao.
 
:behindsofa:


QUOTE=Asprin;2857557]Ukimaanisha kakidondokewa na nini?[/QUOTE]
 
nataman sana wanaume hawa wangekuwepo ....wengi wanaishia kulist tuu sifa za wanaume wakati wenyewe wanaojifanya wanaume hawafanyi yale waliyoyaandika wengi wao.
Pole sana mtoto mpole.......wa kwako si wa kiumeni?
 
:violin:ndo muda wake huu maana kichwa kimechoka
QUOTE=Asprin;2857623]:fencing::A S 103::llama:[/QUOTE]
 
Ewaaaaa hapa tunaongelea wanaume wa kiumeni bana!!:amen:

kwani mwanaume halisi ana haja ya kujitangaza kuwa mimi ni mwanaume
Maana matendo yenyewe tuu yanatosha kumtambulisha kuwa yeye ni mwanaume halisi
Masharobaro ndo wenye kazi ya kujitangaza na kujitambulisha kuwa wao ni wanaume wakati hawana character zozote za uanaume
 
Biashara matangazo lol:washing:
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…