Sisi ndio wanaume bwana!

habari ya wewe mpendwa?

afadhali umeongezeka
habari ni njema kabisa mamii....nijaalie afya yako tafadhali
jamaa wamejigamba na uanamme wao sasa tena wanaanza kulia lia wakiogopa kodi!!!
 
Gaijin & bht, kwa tukilipa kodi mtakubali kumilikiwa na mtakua na adabu zote kwa the owner? ukfungua mdomo tu nakutolea faili la risti tena lna tin na mhuri yte ya vat,

Vigezo na masharti kuzingatiwa :]
 
Gaijin & bht, kwa tukilipa kodi mtakubali kumilikiwa na mtakua na adabu zote kwa the owner? ukfungua mdomo tu nakutolea faili la risti tena lna tin na mhuri yte ya vat,

sio rahisi hivyo...magari mnayalipia kodi ngapi na bado hayako matiifu kihivyo kwenu?
 
Usihofu Bee.....thamani ya nyumba ndogo ikipanda watarudi wenyewe kujimilikisha rasmi kwa ndoa; kwa kuwa angalau hiyo wanaweza kuuza baadae japo kwa hasara.

Biashara ya nyumba ndogo ni hasara mwanzo mwisho ..................:]]
Gee leo umeamkia wapi mpendwa?..lol, utasababisha wenzio tukimbizwe mirembe bana!
 
TF kaka hapa mbona warm up tu, na ushaanza kulalama tena!!!!
bht halafu nimesikia kama unaitwa kule kwenye jukwaa la katiba wewe nenda kule hapa tuachie sisi...lol
 
Usihofu Bee.....thamani ya nyumba ndogo ikipanda watarudi wenyewe kujimilikisha rasmi kwa ndoa; kwa kuwa angalau hiyo wanaweza kuuza baadae japo kwa hasara.

Biashara ya nyumba ndogo ni hasara mwanzo mwisho ..................:]]

lol....Gee😛oa
 
naongeza na mimi hapa....

6.MWANAUME kuheshimiwa na kukubaliwa na wanaume wenzako ni muhimu kama ilivyo umuhimu
wa 'dhamana' unapoenda benki kukopa,kwani mambo yakiku chachia watakaokusaidia mostly ni wanaume wenzio
so sifa kwa kina mama tafuta lakini 'heshima' kwa wanaume wenzio usivunje...

7.Jua 'limitations zako ' kwa kila unachokifanya iwe 'kukimbiza wanawake' kunywa pombe na kadhalika
hakuna mjanja wa kila kitu,jua mwisho wa ujanja wako,ujiepushe na 'mitego' ya wajanja zaidi yako..

8. Unaposifiwa sana 'stuka' baadhi ya sifa ni 'mitego lol

9.Usimuamini mwanamke kwa asilimia 100 hata mama yako mzazi....lakini wapende na kuwaheshimu wanawake na haki zao uwape..

10. tofautisha mambo ya 'msingi' na ya 'ziada' katika maisha yako....l.
ya msingi kwanza,ya ziada ndo yanafuata....
 
Kuna haja ya kufanya feasibility study ili kujua kama kutakuwa na returns zozote ambazo zitakuwa beneficial maana isije mtu ukaishia kufanya investment wakati hata uwezo wa ku-afford kununua generator pindi pale umeme unapokatika hauna

Kama biashara nyengine lazima ukitaka kuiingia ujipange kwanza.

Ulisome soko vizuri, uangalie kama utafute anaetumia mkorogo au mchina......
 
bht halafu nimesikia kama unaitwa kule kwenye jukwaa la katiba wewe nenda kule hapa tuachie sisi...lol

Ijumaa yote hii mi nikafie nchi?? (nchi yenyewe mfu aaah)
kule mwisho kutembelea ni jana...lol!!!

meku JMushi1 mwenyewe kahamia chit chat...ndo ije kuwa mimi? ...lol
chezea siasa wewe eeh!!! yataka moyo
 
afadhali umeongezeka
habari ni njema kabisa mamii....nijaalie afya yako tafadhali
jamaa wamejigamba na uanamme wao sasa tena wanaanza kulia lia wakiogopa kodi!!!

mwenzangu mi nawachabo tu maana sitaki kuongea na wanaume hovyooo (source bishanga).
 
Kwa mujibu wa TRA mahari ni all taxes exempted....

kifungu gani kaangu na cha sheria nambari gani na ya mwaka gani?

na kwani sheria za TRA ni ufunuo wa Mungu?
 
mwenzangu mi nawachabo tu maana sitaki kuongea na wanaume hovyooo (source bishanga).

hahahaaaa lol....bi dada umenichekesha
ongea na sisi basi hao wapotezee (hivi hapa si ni chit chat?...kwamba waweza sema tu chochote)
 
Kwa mujibu wa TRA mahari ni all taxes exempted....

ODM ukilimaliza biya za kaizer kuna 5 toka kwangu....
mwambie Gaijin na bht, hata wafanyakazi wa serikali wakiagiza magari wanapewa exemption ya kodi......... itakuwa wao?
 
Reactions: bht
Mhh aisee namba tisa vere vere
 
hahahaaaa lol....bi dada umenichekesha
ongea na sisi basi hao wapotezee (hivi hapa si ni chit chat?...kwamba waweza sema tu chochote)
Hapa ni mmu bht, ila mada imekaa ki chit chat, lol.
 
Reactions: bht
Hapa ni mmu bht, ila mada imekaa ki chit chat, lol.

ooooooh asante mpendwa sirudii kuchakachua
ila nina hamu na ngubiti na mabumunda aisee? unazijua ngubiti wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…