kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,423
- 13,935
Tuwalaumu watu wetu kwa mikataba hii ya madini tuache siasa nyepesi. Wako watanzania wenzetu walituingiza kwenye hasara hii, lakini wako pia watanzania wenzetu ambao walipata misukosuko mingi kwa kupinga mikataba hii ambao leo hii hatutaki hata kuyasimulia majina yao hadharani.
Wachimba madini wanatekeleza kile tulichokubaliana nao kwenye mikataba. Sisi wananchi tunapaswa tuwaadhibu vikali wale wote waliotufikisha hapa kwakuanzia na wale waliopitisha sheria mbovu za madini na kumaliziana na wale waliofunga mikataba ya madini. Acacia itakuwa ya mwisho.