Sisi mtoto wenu wa nini , acheni ushamba !!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
1,822
494
ImageUploadedByJamiiForums1439009635.876943.jpg
 
Huu upuuz sasa. Kwan ana nini cha ajabu?
Yaan mtoto wa malaya wawili ndio atolewe fedha kumuona?
 
Kwa hiyo kila kitu katika maisha yake huyo mtoto yatakuwa kwenye hicho chumba tu? Tutamuona wakati anaenda shule/ akiwa shuleni/ akienda clinic/ na kadhalika. Watu wanalipia kuangalia wanyama serengeti/ mikumi.
 
Huko Hospital alishaoneka,tutamuona tuu kwa wakati wake,kila jambo lina wakati wake,
 
Back
Top Bottom