Sisi mtoto wenu wa nini , acheni ushamba !!!

Sisi mtoto wenu wa nini , acheni ushamba !!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
499
ImageUploadedByJamiiForums1439009635.876943.jpg
 
Huu upuuz sasa. Kwan ana nini cha ajabu?
Yaan mtoto wa malaya wawili ndio atolewe fedha kumuona?
 
Kwa hiyo kila kitu katika maisha yake huyo mtoto yatakuwa kwenye hicho chumba tu? Tutamuona wakati anaenda shule/ akiwa shuleni/ akienda clinic/ na kadhalika. Watu wanalipia kuangalia wanyama serengeti/ mikumi.
 
Kumbe kuna watu bado wanasoma haya magazeti ya GPL na kuyaamini na kuanza kutoka povu! ????
 
Huko Hospital alishaoneka,tutamuona tuu kwa wakati wake,kila jambo lina wakati wake,
 
Kwa kuwa wao ndo wamezaa wa kwanza au?ushamba mwingine bwana
 
Back
Top Bottom