Hilo ndo tatizo kubwa.Ni halali u-loose hope kwasababu umejiwekea dhana ya kufikirika iwe ndio faraja kwako
Ondoa dhana ya Mungu akilini mwako, hiyo ndio inayokutesa kwasababu unafikiria kua kuna moto sijui madeiwaka wa Mungu watakupa adhabu ya kaburi nk
Familia nadhani anayo, hii dunia bwana ila angefunguka kwanini anakosa furaha!una familia na watoto?
Raha iko mbinguni kwa Mungu babaMathayo 11:29 Jitieni nira yangu, mjifunze kwangu; kwa kuwa mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo; nanyi mtapata RAHA nafsini mwenu;
kuwa na YESU ni raha tosha ,ingia kwa YESU tu naweza kusema ni solution