Sishauri mtu kusoma PhD OUT

Kumbe OUT ya Open University Of Tanzania. Nilipoona heading nilifikiri Out ya nje ya Nchi. Nikaingia fasta nijue mwenzetu kapatwa na nini huko nje ya nchi
 
Mie nashauri tufungue mashtaka mahakamani kuwashinikiza wafanye kazi zao hao lectures maana tutawafungulia mashtaka ya kutupotezea rasilimali hela na muda maana juzi nmempigia lecture wangu ananiambia bado anasoma atanijibu na sasa inaenda mwaka na nusu name stuck hapo hapo kwe research why.
 
Hizo ni dharau aisee
 
Huku ni kula mshahara wa bila kazi!
 

Kweli kabisa. Wanakera Sana. Hawajui tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…