babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 16,307
- 20,891
Na pale Muhimbili jamaa wanakata Miguu tu ukifikishwa hawaulizi mara mbili.na muuza magongo yuko hapo hapo anakuwahi kupima size ya gongo utakalotumia,bongoš
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ulivyoandika tu TAWAHI nikajua hamna mtu hapa
Kipande kigumu hicho hasa kale kamtelemko kutoka magereza shell hadi mkambalaniJamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Umeamua kutufunga cheni za semitrela siyo, asante wewe mjanja.Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Niko ndani ya hiace juzi, nashuka senkenke, kwa mbele kuna semi inakuja, inapanda mlima, kwa nyuma kuna mabasi kama matano,, basi moja Allys likaanza overtaking tena kwa speed kubwa,, kama dreva wa hiace asingetumia busara kuiweka gari pembeni,, saa hizi ningekuwa mbinguni yaani,, maana nilikua front seat.. [emoji1751]Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
Kiongozi kama ulikuwepo tukio lilikua eneo hilohilo kuelekea Moseka kwa Zombe kumbe ni eneo hatarishi nilikua sijui.Kipande kigumu hicho hasa kale kamtelemko kutoka magereza shell hadi mkambalani
Sikuwepo ila kwa maelezo yako nikajua nihapo maana pashafanya watu wengi vilemaKiongozi kama ulikuwepo tukio lilikua eneo hilohilo kuelekea Moseka kwa Zombe kumbe ni eneo hatarishi nilikua sijui.
Ukijikagua hukuchafua boxer?Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Hukujjamba?Mi kuna boda nilimkodi akafanya huo upuuzi wa kupita katikati ya semi mbili mandela road, niliapa sipandi pikipiki kamwe, huku naona mitairi mikubwa huku nako hivyohivyo nilitokwa na makamasi kama kondoo
Uache ujingašJamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.
Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.
Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili
Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Huyu bado Sana mkuuUlivyoandika tu TAWAHI nikajua hamna mtu hapa
Wewe ni Boya! Serikali nayo imekuajiri wewe?Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.