Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,397
- 191,510
Ungeingia tu chemba Yutong ingefanya yake😅Kuna kidaraja Moro town maeneo ya nanenane niko naelekea msamvu, basi la Abood likatoka nyuma likapiga taa nyekundu mbio likanibana kwenye mavyuma ikabidi nigongeshe pikipiki kwenye mavyuma, bahati nzuri nilkua sijaingia katikati ya daraja. Nilihisitayar niko kaburini.