Sirudii tena kufanya ujinga highway

Sirudii tena kufanya ujinga highway

Haji Mashaka Nassoro

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2021
Posts
384
Reaction score
851
Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.

Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.

Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili

Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
 
Hahahaaaa Mkuu unanikumbusha nilivyovaa nguzo nakuja kushtuka watu wananiamsha kwa kunipa pole tu, ashukuriwe Mungu wa mbinguni vinginevyo ningekuwa nishaanza kuoza tangu litokee hili
 
Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.

Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.

Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili

Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Ujinga wa kujaribu kifo mnaupataga wapi?,
itokee bahati mbaya siyo kwa kujitakia kama hvy!!!!
 
Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.

Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.

Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili

Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Ulifanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia matako. Kawaida kitendo cha ku-overtake hakitakiwi kutumia zaidi ya sekunde tatu. Zaidi hapo you risk your life
 
Kiongozi sikufanya uamuzi wa ku-overtake kwa kutumia makalio dereva wa Semi aliongeza mwendo nikiwa katikati bahati Lori nililopishana nalo dereva Mjeda alitumia busara kutanua nikapenya
 
Jifunze kuwa na utulivu barabarani, ulimfukuzia dereva mjeda kwenda kumpa pongezi kwa kukuchelewesha kwenda kuzimu?
 
Kuna kidaraja Moro town maeneo ya nanenane niko naelekea msamvu, basi la Abood likatoka nyuma likapiga taa nyekundu mbio likanibana kwenye mavyuma ikabidi nigongeshe pikipiki kwenye mavyuma, bahati nzuri nilkua sijaingia katikati ya daraja. Nilihisitayar niko kaburini.
 
Jamani ajali haina kinga jana saa 11 jioni natokazangu Moro town kula Boxing day kwa usafiri binafsi wa pikipiki narudi bush inaitwa Nyamwambe km 40 toka Moro town.

Kufika maeneo ya Mkambarani nikiwa nyuma ya Semi Trailler nikaamua kuongeza mwendo ili ni-overtake.

Nikiwa katikati ya Semi kwambali mbele yangu inakuja gari ya wajeda nayo Semi nakajua tawahi ku-overtake mahesabu yakakataa ikabidi nipenye katikati ya Semi mbili

Sirudii tena kufanya ujinga high way madereva wa magari kila pikipiki wao wanajua bodaboda hatakama unatumia kwa shughuli binafsi wangeamua kunipiga pasi leo ningezikwa mlima kola.
Siku nyingine ujifunze kuwa pikipiki ya 150cc nina assume boxer huwa inazalisha maximum 20HP on full throttle!

Overtaking ya kimashine kidogo namna hio ni ngumu ila mnajitiaga wendawazimu tu kujifanya mnaweza kukimbizana na magari na hizo pikipiki zenu huwa nawashangaa mno.

Hio semi kama ni scania inaweza isipungue 400HP yani amekuzidi power almost mara 20 ya pikipiki yako hio. Ukiwa highway kuwa mpole tu acha mbwembwe za ku overtake malori maana akikaza mguu kidogo tu huwezi kumkata.
 
Back
Top Bottom