toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,935
- 12,481
But still haijustify wewe kucheat maybe its true nimeingilia privacy yake lkn he wasnt honest
I know its true he wasnt honest because you have arleady seen everything on his phone, and the good thing here is u knew it just before it was too late...One thing I will tel you ni kwamba honest na loyal guys wapo wengi ila unfortunately kwa wanaume honest na loyalt doesnt go all the way, they tend to slipup somewhere in between...I am a guy a very experienced one, the way we perceive love is very different from the way you people perceive it....Najua watu wengine watapinga na ni kwasababu alot of guys live in denial na wanaish fake life, ila trust me huo ndio ukweli japokuwa ni mchungu...Tuendelee kumwomba Mungu ili tuwe na hofu ya mungu ili tusifanye mambo ya kuwaumiza wengine....PEACE....
Sent from my iPhone using JamiiForums
We acha tu ukitaka kushika simu ya mumeo au mchumba wako uwe na kifua cha kutosha.mi kuna siku niliazima simu ya hubby nimpigie mtu nimemaliza kupiga huyo mtu akawa kanitext kupitia simu ya mr nikaingia kwenye sehem ya ujumbe kwa ajili ya kujibu nikakuta mume wangu alikuwa ana chat na binti flani hivi meseji zimejaa kama zote kwa kuwa alikuwa ana haraka sikutaka kuzifungua kujua alikuwa ana chat nin mda wote huo karudi jioni nashika simu yake sikukuta meseji yoyote si iliyoingia wala iliyotoka nikabaki nacheka.sasa siku ingine nikaishika simu yake nikakuta meseji za yule yule binti ila sasa ziko vipandevipande alizotuma huyo binti haziko kwemye mpangilio maalum na alizojibu mume wangu yaan ni kitu ambacho hakieleweki maana zimebakizwa sms zinazosema amen tu zingine anajua mwenyewe alikozipeleka yaan niliishia kucheka tu nikasema kushika simu yake kuichek nimekoma maana mhhhhhh sio kwa mkanganyiko ule

Nimepima masikitiko yakoUmejuaje???tena nilimwamini hatari but lesson learnt
Hapo sawa...nilijua unamaanisha ni kosa kushika simu ya mwanaume ila ni sahihi kushika simu ya mwanamke.
Nimepima masikitiko yakoUmejuaje???tena nilimwamini hatari but lesson learnt
Kushika simu ya mwanaume ni makosa makubwa sana.Hili somo sijui kwanini wanawake hawalielewi.Kama wewe unajijua umekidhi vigezo unachotakiwa nikumfanya mtu wako awe vile unataka ikiwa ni pamoja na kukuheshimu ili ata kama atakua na mapungufu kidogo yawe ni yale yanayoenda sambamba na kuvumilika, kukupenda,kukulinda na kukuheshimu.Hao wanaokwambia uachane nae,je utaachana na wangapi.Ni rahisi kukiremba kinyago ulichokwisha kukichonga kuliko kuanza kuchonga kipya kitakachofanana na kile cha kwanza na kiwe tofauti kwasababu naamini hadi ulifikia kua naye alivuka nusu ya vigezo ulivyokua unavihitaji.sasa kazi kwako kuamua kuremba icho unachokijua au kuamua kutafuta usichokijua.Sasa kama ulikua kwenye uangalizi na majaribio ya uyo jamaa ndo muda wako kuchukua credit na kama tayari ulishakua mke ndo muda wakuonyesha thamani yakua mke bora.
Mkuu mimi sishiki simu ya wife,tu wakosefu sote,tuombe uzima kushinda hii khaliHapo sawa...nilijua unamaanisha ni kosa kushika simu ya mwanaume ila ni sahihi kushika simu ya mwanamke.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepima masikitiko yako
Poleee sana macho yameuponza moyo ukavimba...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa ya hii kitu ni kupiga kimya kama unaweza...Tena ulivimba saana sijui nilijikuta nani vile
Dawa ya hii kitu ni kupiga kimya kama unaweza...
Inaitwa self respect
Sent using Jamii Forums mobile app
Naam
Badili kaloti mkuu.......CAG......TZNi ngumu kumsamehe kirahisi hivyo
Imeandkwa .....omben mtapewa.....na Msinymane.....@SinHapana jamani siwezi
Hope message .....nimeipendaNaam
Nimekosea?
Sent from my SM-G570F using Tapatalk