Pancras Suday
JF-Expert Member
- Jun 24, 2011
- 8,143
- 3,848
khaijajulikana implementation yake itakuaje mkuu.
mfano wanaweza wakaweka mfumo line moja inaweza ikawa na namba 5. hivyo unaweza ukasajili zote tano na ukazi switch na app tu, wakaweka maximum zinazokuwa active ni 2. implementation yake ndio itakayoamua kama ni njia nzuri ama la.
Kama wataweka mfumo wa app ku-switch line hapo itakuwa rahisi sana kuliko sasa, cha muhimu wasije wakaleta mfumo wa kufanya activation kwenye makampuni ya simu kila unapohitaji kufanya hivyo bali activation ifanyanyike mara moja ila ku-switch mtandao afanye mwenye simu kupitia app