Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,068
- 43,510
soko la kwanza itakayouzwa ni around laki 8.vipi kuhusu ukubwa wa RAM, internal memory, camera na bei yake sh ngap?
ram 4gb na internal 64gb.
soko la kwanza itakayouzwa ni around laki 8.vipi kuhusu ukubwa wa RAM, internal memory, camera na bei yake sh ngap?
kila kitu kipo fresh, tatizo bei sasa dooohh sisi watu wa chini tutasubir second hand tu hkn namnasoko la kwanza itakayouzwa ni around laki 8.
ram 4gb na internal 64gb.
single line au dual??soko la kwanza itakayouzwa ni around laki 8.
ram 4gb na internal 64gb.
Ispotumia android haitafika popote. Labda iundwe os yenye ufanisi zaidi ya android ndio itaweza kuhimili ushindani. We sahivi android ipo hadi kwenye saa za mkononi, ma TV majumbani unadhani ni kitu kidogo hiko.Natamani kuiona Nokia ikitumia operating system tofauti na Android.
ni hybrid, unaweza eka double line au line moja na memory card.single line au dual??
ikienea sana mtaani ma bei yake kushuka ntaitafutaga.ni hybrid, unaweza eka double line au line moja na memory card.
hio soc imetumika simu chache tu mpaka sasa . na hata ukiangalia simu kama xiaomi redmi note 3 na Oppo R11 plus zote bei zake ni humo humo. Hivyo kupata Simu ya Brand kubwa kwa bei kama simu ya Kichina ni nadra sana.kila kitu kipo fresh, tatizo bei sasa dooohh sisi watu wa chini tutasubir second hand tu hkn namna
zikitoka naomba untag km hutojalihio soc imetumika simu chache tu mpaka sasa . na hata ukiangalia simu kama xiaomi redmi note 3 na Oppo R11 plus zote bei zake ni humo humo. Hivyo kupata Simu ya Brand kubwa kwa bei kama simu ya Kichina ni nadra sana.
kama budget ni ndogo labda usubirie simu kama Nokia 4, snapdragon 450 na pengine isifike laki 4 bei.
I second you.Natamani kuiona Nokia ikitumia operating system tofauti na Android.
Nimeona fununu iphone inakuja na dual sim.hio soc imetumika simu chache tu mpaka sasa . na hata ukiangalia simu kama xiaomi redmi note 3 na Oppo R11 plus zote bei zake ni humo humo. Hivyo kupata Simu ya Brand kubwa kwa bei kama simu ya Kichina ni nadra sana.
kama budget ni ndogo labda usubirie simu kama Nokia 4, snapdragon 450 na pengine isifike laki 4 bei.
Sijui walilogwa na nani Nokia!!Hawa jamaa wangeanza zamani kutengrneza android wasingeachwa nyuma..
Nimeona fununu iphone inakuja na dual sim.
inawezekana,Nimeona fununu iphone inakuja na dual sim.
itabidi waziweke free to air....yan ukinunua inbuilt kwa pande za nchi za huku kwetu ambazo hazina mtandao wa AT & T unakuwa tu unaenda kwa network provider unaowataka unaisajili so inbuilt inakuwa free to any networkinawezekana,
ila naona kama Arm wanataka wazitoe kabisa line za simu. ziwe simu zinakuja na line built in.
yah itakuwa hivyo, inakuwa ndani ya processor.itabidi waziweke free to air....yan ukinunua inbuilt kwa pande za nchi za huku kwetu ambazo hazina mtandao wa AT & T unakuwa tu unaenda kwa network provider unaowataka unaisajili so inbuilt inakuwa free to any network
Tanzania sisi sijui bd tupo kweny generation gani ya technology......maisha ya nchi hii kila sector tupo vibaya.yah itakuwa hivyo, inakuwa ndani ya processor.
kuanzia 5g simu zitakuwa sio primary tena, internet of things itatawala, by 2025 kutakuwa na mabilioni ya IOT na by 2035 wanakadiria matrilioni ya IOT. hivyo vyote hivi vinahitaji line, ndio maana wana integrate kwenye processor.
Mkuu huoni viwander vinavyojengwa kwa kasiTanzania sisi sijui bd tupo kweny generation gani ya technology......maisha ya nchi hii kila sector tupo vibaya.
ndan ya hvy viwanda ni watu wa nchi gan au taifa gani ndo wamepewa vile vyeo vikubwa vikubwa?Mkuu huoni viwander vinavyojengwa kwa kasi
Simu za Nokia zilikuwa tamu sana kwenye OS ya Symbian na Maemo yaani nilikuwa hata sichoki kuzitumia, tatizo app developer wanakosekana kwenye hizi OS nyingine ndo maana unaona haziwezi ku-compete na OS like Android na iOSI second you.
I hate android japo naitumia sometimes.
Android is never optimized in any device other than Google devices.
Nokia should reinvent Jolla OS.
Wakifanya hivyo watakuwa wamefanya ujinga wa hali ya juu sana hasa kwa sisi tuliozoea ku-switch SIM cardinawezekana,
ila naona kama Arm wanataka wazitoe kabisa line za simu. ziwe simu zinakuja na line built in.
haijajulikana implementation yake itakuaje mkuu.Wakifanya hivyo watakuwa wamefanya ujinga wa hali ya juu sana hasa kwa sisi tuliozoea ku-switch SIM card