Siri zetu WANYWAJI

Nimecheka mpaka basi!!Huu sasa wizi!!Eti nimependa tumbo lako!!!!
 
ki2 t*go hyo c umechek mobile no ilotolewa marejesho huenda mshkaj ana six pack ndo mana barmaid kavutiwa
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha

Sent from my BlackBerry 9100 using JamiiForums
 
Mambo ya online service hayo, unachapa halafu unamuuliza nimekutongoza au umenitongoza.
 
Bujibuji una matatizo wewe sio bure haki!
 
jamaa kafunguka kisa tumbo, na hizi fasheni za siku hizi ni zaidi ya kuona matumbo
 
jamaa kafunguka kisa tumbo, na hizi fasheni za siku hizi ni zaidi ya kuona matumbo
Kwani aliyeeandilka hii ni jamaa au FATU hapo!
Inaonyesha hujausoma vizuri UJUMBE.
Halafu ujumbe kama huu unaletewa na mdada anakuambia baba BILL yako hii!!!
Kwa MTAJI huu kweli TZ bila ukimwi ....
 
Du mmepa bonge la promo huyu dada kwakweli kama yuko hapa Shinyanga lazima nimpigie
 
siku hizi kama upo na wife wanaweka ujumbe kwenye tissue
 
Bujibuji huyo Fatuma anaonekana 7 A ... maana jinsi alivyoandika inaonekana Shule in mgogoro

Umeanika namba yake yote!

Alafu kumbe una tumbo la kutamanisha wadada
 
Huyu bar maid kiboko elimu darasa la saba ila anajua ku purchase online?
Ubunifu kitu muhimu sana.
 
Hii kitu imetulia halafu Fatma anatumia tiGo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…