Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
mkuu nilishuhudia demu mmoja anamhadithia mwenzie alivyo mteka mme wa mtu akasema alikuwa anabana sauti mpaka jamaa alikubali akasema kule kunako aliweka manjonjo jamaa alikuwa hana mpango wa kulala lakini alimsahau mke wake very sad. Nikaondoka kimya kimya nakuwaachia pilau mezani.
hahahahaha...
Huo utaratibu upo mkwa wanawake zaidi, kwa wanaume sio rahisi na mwanamume anayejiheshimu hawezi kumdhalilisha mke/mpenzi wake kwa mwanamke mwingine...hiyo inabaki siri, basi.
ila pia inabidi kujua kama hao wanaobana pua kama wanakuibia au la, ni vematukajua mbinu za mwanamke anayetaka kukuteka/kukuibia especially kama sio mke/mpenzi wako