Siri za ndani...

MwanajamiiOne

Platinum Member
Jul 24, 2008
10,470
6,562
Nimeifuma hii katika pita pita zangu kwenye masaluni. Ikanikumbusha story nyingi zifananazo kila ninapokwenda saluni inaelekea kina dada wengi kwetu hii ni hulka au sijui tunaona kawaida.

Wengi wetu tu wepesi kusimulia hadharani kama si kwa mashostito basi hata humo saluni au maofisini tunasimulia mambo yetu ya chumbani au waume wetu. Utasikia ah shost mie wangu mlevi sana bwana hadi anakera akirudi ye ni kukoroma tu hata hakumbuki ka kalala na mwanamke, au mh nimechoka leo, maana shughuli niliyopewa na shemeji yenu hata si ndogo!n.k

Kuna article moja sikumbuki ya gazeti gani ilishawahi kulizungumzia hili na kutoa angalizo kwa kina dada wenzangu wenye tabia kama hii. Nakumbuka lilisema kuwa tunapofanya hivyo tunawanadi waume zetu tunaowasifia na kuwatia mshawasha mashostito kutupa ndoano zao kwa mabwana zetu. Mara mashostisto hao wataanza kupanga mikakati ya kukupindua.

Ni mara ngapi wanawake wenzetu wanasalitiwa na wenzi wao kwa mashoga zao waliokuwa wakipiga soga na kubadilishana chanuo kwenye kusukana?

Hebu fikiria mara mbili, unawasimulia udhaifu wa mume wako, mara: “Mimi mume wangu akiona paja tu basi, ‘wazaramu’ wanampanda, bila kumpa ‘staftahi’ hapo ujue ‘network’ hazitosoma.” Kesho, shoga yako akikuta bar atamkaribisha shemejiye na kumfunulia paja hiyo ni kumdatisha, si umeshamuambia kuwa ‘wazimu’ wake upo kwenye mapaja?

Habari hii imenifanya nijiulize kama wanaume nao huwa wanazo tabia kama hizi, hivi huwa wanatusema kwa marafiki zao? Au wao mazungumzo yao ni tofauti?
 
Nitajizungumzia mwenyewe. Mimi katika "circle" yangu ya jamaa na marafiki hakuna mtu anayezungumzia ya binafsi kama hayo i.e. mambo ya chumbani. Sijawahi hata siku moja kumsikia rafiki yangu yeyote akizungumzia jinsi mwanamke aliyelala naye anavyo moan au anapenda kumegwa mara ngapi au kama nanihino yake imfyekwa au kutoa harufu.

Mara nyingi simulizi kama hizo hutoka kwa wanawake. Utakuta mwanamke mzima anasimulia wenzake kazini udhaifu au mapungufu ya mumewe bila hata aibu. Huwaga sielewi kabisa. Ndio maana ni muhimu sana kuchagua mtu wa kuwa naye la sivyo watu kibao watakuwa wanakujua wewe nje ndani kuliko hata unavyojijua mwenyewe. Kama wewe ni mtu private basi ni vizuri ukatafuta mwenzako naye aliye private kama wewe.
 
Ni kweli Nyani nakubaliana nawe kwa sababu hata mie katika pitapita yangu sijaona mwanaume mwenye tabia hiyo isipokuwa kwenye filamu kama ya Tyler Perry Why did I get married
 
Hii ni kwa wanawake tu.
Ukiona mwanaume anaongelea ujue ni kimada chake amekula mzigo kwa hiyo anawasimulia jamaa zake lakini wife never.
 
Mambo ya ndani ni aibu kuyasema. Halafu ukitaka kumjua mwanamke mchongimchongi mbona easy!!!! Utaona tu katika relation, anakuletealetea umbeya wa huko saloon na kwingineko. We muulize tu, unayajuaje haya kama wewe huchangiii??? Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.

Mimi bwana siri yangu ni yangu hata kwa mke si rahisi aipate hii unless siri hiyo kama itakuwa na mafanikio kwake, halafu siwezi eleza njemba mambo yangu ya ndani na mke wangu wala kimada kama angekuwepo.

Ila nimeona wanaume wengi huwa tunafanya makosa sana unapopata hawara wengine wanatafuta cheap way ya kueleza udhaifu wa mke wake ila hawara amkubali. Hii ni mbaya sana. Ukipata farasi lako, panda na mchezo unakwisha, hakuna fungua mdomo wa mambo yako ya private man.
 
Tofauti kati ya wanawake wengi au baadhi na wanaume ni kwamba mwanamke ataenda mbali zaidi ktk kuelezea mambo ya chumbani ilhali mwanaume mara nyingi ataishia kusema pale nimemega. Big difference
 
Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.

Mkuu umesahau kitu kingine.
Kama anatoa TG nayo hawezi sema kwa mashostito wake labda vimada waanze naye atatumbukizia ooh Mr.Fidel siku hizi hatoki anakula upande wa pili.
 
Tofauti kati ya wanawake wengi au baadhi na wanaume ni kwamba mwanamke ataenda mbali zaidi ktk kuelezea mambo ya chumbani ilhali mwanaume mara nyingi ataishia kusema pale nimemega. Big difference

hehehe mkuu kuna jamaa mm kitaa anajichukulia ujiko wa kumega wanawake wanamsifia ni fundi sana kwa hiyo akimega anaenda kumsimulia mwenzie nae anajipendekeza jamaa ana mega dah yaani aibu kitaa kizima jamaa kamaliza.
Hii ni kutokana na wanawake wenyewe kumsifia jamaa anayajua sana.
 
Mambo ya ndani ni aibu kuyasema. Halafu ukitaka kumjua mwanamke mchongimchongi mbona easy!!!! Utaona tu katika relation, anakuletealetea umbeya wa huko saloon na kwingineko. We muulize tu, unayajuaje haya kama wewe huchangiii??? Asilimia ya wengi wa akina mama huwa si wasiri kwa mambo mengi, labda siri yake kubwa ni kama anamegwa nje hivyo hatasubutu kusema, naamini.

Mimi bwana siri yangu ni yangu hata kwa mke si rahisi aipate hii unless siri hiyo kama itakuwa na mafanikio kwake, halafu siwezi eleza njemba mambo yangu ya ndani na mke wangu wala kimada kama angekuwepo.

Ila nimeona wanaume wengi huwa tunafanya makosa sana unapopata hawara wengine wanatafuta cheap way ya kueleza udhaifu wa mke wake ila hawara amkubali. Hii ni mbaya sana. Ukipata farasi lako, panda na mchezo unakwisha, hakuna fungua mdomo wa mambo yako ya private man.

ila kwa vimada wenu huwa mnatusema maana ukiguswa kunako hukawii kuanza kuimba kama kasuku mara oh mie kule sifanyiwagi hivi au oh jana mwenzio kaninyima na wewe leo utanipa n.k au hiyo is not harmful?
 
hehehe mkuu kuna jamaa mm kitaa anajichukulia ujiko wa kumega wanawake wanamsifia ni fundi sana kwa hiyo akimega anaenda kumsimulia mwenzie nae anajipendekeza jamaa ana mega dah yaani aibu kitaa kizima jamaa kamaliza.
Hii ni kutokana na wanawake wenyewe kumsifia jamaa anayajua sana.

Aksante Fidel huu ni ushahidi tosha kuwa wanawake tunapofanya hivyo si kwamba tunawajengea sifa wanaume zetu bali tunawaweka midomoni mwa mamba.
 
hehehehe tender kama hiyo nikiipata kha! naweza uzoea Segerea bahati mbaya au nzuri mabinti wa mtaani sichukui unaweza uzoshwa ndoa ya mkeka mi masafa tu. Maana mmezidi kusifia mpaka mtu nae anaingia tamaa anataka kujaribu mziki wake wa jamaa.
 
ila kwa vimada wenu huwa mnatusema maana ukiguswa kunako hukawii kuanza kuimba kama kasuku mara oh mie kule sifanyiwagi hivi au oh jana mwenzio kaninyima na wewe leo utanipa n.k au hiyo is not harmful?

hehehehe Mwana hii ipo hasa unapo uliza mlango wa dharula kama naweza nikatoka lazima ukandie upande wa 2 ili uweze toka. Hata kama una mchumba hii ipo sana.
 
ila kwa vimada wenu huwa mnatusema maana ukiguswa kunako hukawii kuanza kuimba kama kasuku mara oh mie kule sifanyiwagi hivi au oh jana mwenzio kaninyima na wewe leo utanipa n.k au hiyo is not harmful?

Mkuu MOne hata kama utakuna pale pasipokunika na mke wangu, hutapata undani wa my wife. Cha msingi tu, kama unajua majamboz nitakusifia tu kama kawaida but not at the expense of undressing my wife. Anyway, I hate kumega. After all niko busy sana na mambo mengi, so time ya kunatia cuncubines sina.
 
Ni kweli hii tania wnayo sana akina mama au dada zetu. Na wanaenda mbalia san mpaka wanatja style na mapungufu ay mauwezo ya waume zao. Hii ni hatari sana sana. Nimeona hta maofisini akina mama wanaelezana huo ujinga. Ni DHAMBI SANA KUEELEZEA MAMBO YA NDOA NJE
 
Wengine wanasimulia hadi alikojoa mara ngapi wakati wanafanyana.....mademu bana
 
You are one in a million and my wifi must be very luck to have you!

I salute you kaka.

Joke: Ila hii nayo ni sifa ati unayoitoa tutaanza kukunyatia ili tumpindue huyo lucky lady ohoooo!!:rolleyes:
 
Wengine wanasimulia hadi alikojoa mara ngapi wakati wanafanyana.....mademu bana

mkuu nilishuhudia demu mmoja anamhadithia mwenzie alivyo mteka mme wa mtu akasema alikuwa anabana sauti mpaka jamaa alikubali akasema kule kunako aliweka manjonjo jamaa alikuwa hana mpango wa kulala lakini alimsahau mke wake very sad. Nikaondoka kimya kimya nakuwaachia pilau mezani.
 
Ni kweli hii tania wnayo sana akina mama au dada zetu. Na wanaenda mbalia san mpaka wanatja style na mapungufu ay mauwezo ya waume zao. Hii ni hatari sana sana. Nimeona hta maofisini akina mama wanaelezana huo ujinga. Ni DHAMBI SANA KUEELEZEA MAMBO YA NDOA NJE

Duh kumbe hata makazini ipo!! This is serious mimi nilikuwa najua masalunini tu maana kuna siku nilicheka hadi leo nacheka ninikubuka. Mama mmoja alikuwa anasimulia vituko vya mumewe kuwa ni mlafi yaani akipita binti mweupe hata kama hana shepu(akawa anatolea mfano kwangu!! duh) mumewe macho yanamtoka kama kamezwa na chatu. Baada ya kumkandia hapo akajishuku mwenyewe ati lakini simlaumu sana maana kwa level na speed yake mie simwezi kila siku ananiacha hoi hata anapomaliza mimi huwa sijitambi !!

Nilichoka!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom