Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,227
- 1,362
Idadi ya mamluki wengi kutoka Libya, Uturuki na Afghanistani walikwisha ingia nchini Misri. watu waliojenga kambi kumpinga serikali mpya wengi wao walikwisha jizatiti na siraha. Lengo la haya yote ni kuiweka misri katika serikali ya kiislamu itakayo fuata sharia law. mapinduzi ya Iran mwaka 1978 yalikuwa yatokee misri.
Mpaka sasa maknisa theresini yamechomwa moto na wafuasi wa moslem brotherhood. sasa cha kujiuliza makanisa yamewakosea nini hawa wafuasi wa morsi mpaka wayachome? Chuki za kiongozi huyu aliyetolewa madarakani dhidi ya wakristo zilikuwa mbaya sana na sasa zinajionesha wazi.
Nchi za western na ulaya mashariki hazina radhi na kitendo cha wafuasi wa morsi cha kuyachoma makanisa.
Morsi hastahili kuachiwa huru!