Chase your dreams
Member
- Jul 27, 2024
- 87
- 631
Ngono na utafutaji haviendaniKwenye papachu...ukiweza kuzikimbia lazima utoboe
Man down
Ushazifanyia kazi hizo siri ?1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi
Huko Kuna madini na vitu vingi vya thamani.
2.Siri ya pili ya mafanikio mwenyezimungu akaiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli.
3.Siri ya mafanikio ya tatu mwenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.
4.Siri ya nne ya mafanikio mwenyezimungu ameiweka katika vichwa vya wanadamu.
Kwa Sababu mtu akiwa na idea yake maybe alikuwa na mafanikio yake ambayo anayaona huyaandika kwenye VITABU. Hivyo tunapokuwa unapokuwa unasoma vitabu unachukua Yale mafanikio au njia za kuendea hayo mafanikio ambayo mtunzi wa kitabu alikuwa anayaona.
Hivyo pendeleeni kusoma vitabu.
5.Siri ya tano ya mafanikio mwenyezimungu kaificha msitini katika miti kikubwa.
Pia huko Kuna Siri nzito sana
za mafanikio ambazo mwenyezimungu ameziweka.
Ongezea Siri nyingine ya mafanikio tupate kuelimika.
Hii siri 👆👆itolewe maana utajiri wa mbinguni hatuwezi kuupata na kuuleta duniani au mtoa mada kunanjia twaweza kuupata ? Au nikavamie Aka nikaibe?🤔2.Siri ya pili ya mafanikio mwenyezimungu akaiweka mbinguni.
Huko mbinguni Kuna vitu vingi sana ambavyo sisi hatuvifahamu, na vina thamani kubwa kweli kweli
It's easy lakini unapaswa kujitoa mhanga kwenda kuitafuta ,uko tayari kufia ndani chini ya bahari endapo kukitokea ajali?3.Siri ya mafanikio ya tatu mwenyezimungu ameiweka katika bahari.
Huko chini ya bahari Kuna mji mkubwa na mzuri kweli kweli kuliko hata mji huu tuliopo sisi (dunia), na kuna vitu vingi vya thamani lakini kuvifikia ni Mtihani.
Hii siri 👆👆itolewe maana utajiri wa mbinguni hatuwezi kuupata na kuuleta duniani au mtoa mada kunanjia twaweza kuupata ? Au nikavamie Aka nikaibe?
Kwani mali wanazipata kutoka mbinguni au kwa waumini kupitia mgongo wa dini?Huoni wachungaji Na manabii wanavotoboa
Unaufahamu ule msemo natembea na huku marehemu?Amna
Mafanikio hayana siri yapo tu popote kulingana na mazingira ya watu wa eneo waliopo kinachohitajika ni MAARIFA NA CONNECTION basi..1. Sehemu ya kwanza katika Siri za mafanikio ipo katika chini ya ardhi