Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.
Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"
Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.
Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.
Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.
Mkuu Wamlola, kwanza asante kwa hii, common sense logic, inaniambia huu ni uongo na uzushi ila wenye malengo!, (ill motive!", na kuna mwana jf mwingine nae pia alipondisha threads kadhaa za maoungo na mauzushi kama haya!, sasa mimi kazi yangu ni kushauri tuu!,"simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa".
Membe hauchoki kumwandama Lowasa ? Sasa angalia Vijana wako wanakuja na Hoja zisizo na Mashiko , hampati Usingizi juu ya Lowasa mpo busy kwa saa 24 mkitunga Uongo,Uzushi na Uchonganishi huku membe mwenyewe akiwasaka wanasiasa njaa na kuwagawia Pesa zile za Gadafi alizokwapua kisha anawashika Akili na kuwachochea ili wamwandame Lowasa, kwa bahati nzuri Wananchi wa sasa si wajinga wanajua Mchezo wote wa Membe na kamwe hatafanikiwa hata amchafue vipi Lowasa bado membe hapandi chati licha ya kikundi chake kumlia pesa na kumpa Matumaini feki.Ndg Edward Lowasa mwenye kutamani urais kila uchao amezidi kukumbwa na jinamizi linalovujisha siri zake kila uchao.
Jana kuna vikao vimefanyika Dodoma na Arusha vikao vyote vimeazimia kumhusisha Lowasa na Rais kikwete kwamba hawakukutana barabarani.
Maazimio yalikuwa kuwa
Itengenezwe kauli mbiu mpya ya " simama uhesabiwe,hakatwi mtu hapa"
Kauli hiyo kwenye kikao ametolewa na Lowasa mwenyewe.
Hayo pia yamefanyika Arusha Hotel ya Mountain Meru.
Pamoja na hayo kundi hili wamelenga kuwaaminisha Wananchi kuwa Lowassa hukutana na Mhe. Rais mara nyingi ili amuachie urais.
Kila kukicha kabla ya siri za Lowasa hazijamaliza masaa 3 zijavuja.
Pesa anayotumia Membe kumchafua Lowasa ni bora angeielekeza kijijini kwao kujenga Hosptal , shule,barabara na kuweka mabomba ya maji , kuboresha huduma zote jimboni kwake, hizo pesa za Gadafi asizitumie kuwanunua watu ili wamchafue Lowasa , kumbuka ni wengi wametangaza Nia ya Kiwania Urais, iweje Membe amwandame Lowasa pekee ? Hapa Tz Hakuna aliye msafi kiasi cha kumnyoshea mwenzake kidole, kila mmoja ana Madhambi yake. Membe ulitegemea kupanda chati kupitia Mgongo wa Lowasa ,sasa mambo yamekuwa kinyume watu wanazidi kukushusha thamani zaidi hata ukigombea Udiwani hupati, watu watakula Rushwa yako lakini Kura hupati, membe hizo pesa nenda kawasaidie masikini na omba omba wajikwamue jaribu kumwiga mshirika wako Mzee mengi.dah... mkubwa anawasumbua kweli wanawe, maana kila uchao wanarusha threads humu, naona hadi 2015 july watakua wameshakua typing specialists
View attachment 189013