Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 141,433
- 283,704
Kipeperushi chenu kinazusha tu habariTaarifa za uhakika ni kwamba majina ya wabunge wapya wa cuf walioteuliwa kushika nafasi za wale ambao ' wamefukuzwa ' na Msaliti Lipumba , kumbe ni majina ya mfuko wa suruali ya Lipumba .
Ule utaratibu wa kisheria wa Tume ya uchaguzi wa kuteua wabunge wa viti maalum kutokana na orodha iliyowasilishwa kwake na chama husika , tena kabla ya uchaguzi mkuu kufanyika UMEPUUZWA .
Chanzo MwanaHalisi .
Mytake - Kwanini Tume ya uchaguzi imeamua kujidhalilisha kiasi hiki ? Maana hata kama wabunge hawa wangefukuzwa kihalali , bado NEC ilitakiwa kuteua wengine walio kwenye orodha iliyowasilishwa na CUF kabla ya uchaguzi mkuu wa 2015 .
Watu wachache wanafedhehesha Nchi kwa gharama ya vyeo vya kupita tu .
Hujaelewa , yaani haya majina mapya yaliyotangazwa kumbe ni majina ya kuokota tu , hayahusiani na yale yaliyopelekwa na cuf tume mwaka 2015 kabla ya uchaguzi .Mtani sasa kama ya mfukoni mwake kwann awafukuze?
Si hasa.... Siasa
NEC ni ccm C baada ya Act Wazalendo, Police, NEC.
Heee! Duniani tunatofautiana aisee....atleast habari hii ingekuwa na mASHIKO ingeletwa na magazeti mengine
Jiongeze basi wewe! Kasome sheria ya uchaguzi ya 1991 na mabadiliko yake ili umwelewe mleta hoja.Kipeperushi chenu kinazusha tu habari
Kanusha na utoe ukweli basi wewe!!!Sasa MWANAHALISI kinatofauti gani na MAKENE????....atleast habari hii ingekuwa na mASHIKO ingeletwa na magazeti mengine lakini si hawa MAZUZU.....maana inawezekana habari hii isiwe na tofauti na zile habari walizokuwa WANAMUNDIKA mr white hair kipindi kile,,,,,,
Amka usome tena. Umekurupuka.Mtani sasa kama ya mfukoni mwake kwann awafukuze?
Si hasa.... Siasa
Ashakumu si matusi,Lipumba ,ni najisi!!
Halafu eti alienda kuhiji na anajifanya swala tano!!