Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,992
- 5,660
Tumejaribu kuwauliza wazee kwanini walifanikiwa kwenye mahusiano. Akatokea bibi mmoja akatuchana live. Akasema Mara nyingi akina Dada wanafunga benki zao za pale kati wakati akina kaka tupo tayari kila wakati kupeleka hela zetu lakini tunakosa Huduma nakwakawaida sisi tuko tofauti sana kila wakati nyama nyingine zinakua mifupa najukumu lenu akina Dada nikuzitoa kwenye hali ya mifupa kurudisha kwenye nyama maana tuna mifupa mingi sana mingine tusipoirudisha kwenye hali ya nyama tutaelemewa sana.
Yule bibi akasema hajawahi kuona vitu vinavyopendana kama kule kati.
Akasema kama upo kwenye mahusiano mwenzako akaanzisha ugomvi wowote basi usijibizane nae mwoneshe pale kati fasta ugomvi utaishia kitandani. Akasema kuwa yeye aliweza kudumu kwenye ndoa zaidi ya miaka 50 kwasababu Mme wake alipokua anaanzisha ugomvi huyo bibi hakuwa anamjibu alikua anasaura manguo babu anaona uno kati kunasalimiana ugomvi unaishia kitandani. Na mume wake alikua anamwonesha mkono wa tembo bibi alipoanzisha ugomvi bibi anadata anabaki kusema babe nakupenda.
Je hii njia ikitumika katika mahusiano itasaidia kumaliza migogoro au kuleta amani kwenye ndoa?