MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,094
Mara paap anakuonyesha pale kati anapoishi bakari jicho moja kada wa fisiemu kama mtoa mada anavyotueleza bado hautamsamehe ?Aisee asikwambia mtu fanya yote ntakupotezea ila usaliti hapana!!
Hafu enzi hizo watu walikuwa wana heshima si me wala ke ndio maana mambo yao mengi ndio funzo kwetu leo.
Walioana kwa kufahamiana kwa kuzingatia uzuri, tabia vyote pande mbili ziliyazingatia haya!!
Tuki rudi Eden mambo yatakuwa![]()
