Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

PISTO LERO

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2011
Posts
2,819
Reaction score
1,455
Mwanza. Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya wezi wa mashine za kuchukulia fedha(ATM).

Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10, mwaka huu saa 6 usiku wakiiba kwenye ATM za NMB,Tawi la PPF Plaza, Polisi walinasa vitu vingi vya watuhumiwa hao ikiwa ni pamoja na kompyuta mbili ambazo zinadaiwa kuibwa kituoni hapo juzi.

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya Polisi zimeeleza kwamba katika wizi huo uliotokea katika maghala ya Polisi, moja kati ya vifaa vilivyoibwa ni mafaili mbalimbali ya vielelezo kadhaa vya kesi zinazochunguzwa na polisi ikiwa ni pamoja na laptop hizo ambazo zilikuwa ni ushahidi kwa kesi hiyo ya wizi wa ATM.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ernest Mangu alipoulizwa kuhusiana na vielelezo vilivyoibwa Polisi, alikanusha kwamba laptop hizo zilikuwa kielelezo cha kesi za wizi wa fedha katika ATM lakini pia hakuwa tayari kueleza zilikuwa za kesi gani.

Wakati Kamanda huyo akikanusha baadhi ya askari ambao wanahusika na uchunguzi huo wamedai kuwa wizi huo uliendeshwa na maofisa wa polisi wasio waaminifu na kubainisha hakuna wizi unaoweza kufanywa na watu kutoka nje ya polisi.
 
Makamanda wa Policcm wanamiliki magorofa, magari na kusomesha watoto ulaya, kwa mshahara gani? CCM + Policcm = MAFISADI
 
tanzania kuna pilolisi au ni wezi tu na wanasiasa!!
 
Sisi tulishazoea mambo ya polisi tz, kama bomu linalipuka askari akiwa anazipanga kwenye box! Unashangaa hili la mwanza.
 
Ni bahati mbaya kwamba kuna hili kundi la Majambazi yanayoshirikiana na Ccm kuua,kuibia,kupora,kunyang'anya,kubambika kesi,kutesa raia,kushiriki siasa chafu,ubakaji na uzandiki mwingi kujiita polisi!!Natamani siku tuamke tukute maiti za polisi wakiliwa na ndege barabarani nitafurahi sana na ipo siku maana tumeshuhudia JWTZ wakitesa raia mtwara na wao wakafa 7 kule Darfur Sudani ikiwa ni sehemu ya Kisasi tulicholipiwa na Mwenyezi Mungu juu ya uuaji unaoendelea pale Mtwara habari zilizopo ni kwamba hata hao waliobaki wanaweza kufa wakati wowote maana wamejeruhiwa vizuri sana...Yap ni habari nzuri maana dada binamu yangu aliuawa akiwa mjamzito na hawa watanzania wenzetu hivyo tulie misiba wote
 
ni heri mgambo wa jiji kuliko polisi , najipongeza sana kuikataa kazi hiyo .
 
Aisee kwa kweli ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni!
Mwanza. Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya wezi wa mashine za kuchukulia fedha(ATM).

Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10, mwaka huu saa 6 usiku wakiiba kwenye ATM za NMB,Tawi la PPF Plaza, Polisi walinasa vitu vingi vya watuhumiwa hao ikiwa ni pamoja na kompyuta mbili ambazo zinadaiwa kuibwa kituoni hapo juzi.

Habari zilizopatikana kutoka ndani ya Polisi zimeeleza kwamba katika wizi huo uliotokea katika maghala ya Polisi, moja kati ya vifaa vilivyoibwa ni mafaili mbalimbali ya vielelezo kadhaa vya kesi zinazochunguzwa na polisi ikiwa ni pamoja na laptop hizo ambazo zilikuwa ni ushahidi kwa kesi hiyo ya wizi wa ATM.

Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ernest Mangu alipoulizwa kuhusiana na vielelezo vilivyoibwa Polisi, alikanusha kwamba laptop hizo zilikuwa kielelezo cha kesi za wizi wa fedha katika ATM lakini pia hakuwa tayari kueleza zilikuwa za kesi gani.

Wakati Kamanda huyo akikanusha baadhi ya askari ambao wanahusika na uchunguzi huo wamedai kuwa wizi huo uliendeshwa na maofisa wa polisi wasio waaminifu na kubainisha hakuna wizi unaoweza kufanywa na watu kutoka nje ya polisi.
 
sasa kama polisi wenyewe wanaibiwa ofisi kwao, itakuwaje raia wa kawaida? du kweli maajabu hayaishi.
 
Hakuna wizi polisi ni amri za wakubwa. wale wazee wa amri moja kama kwenda kuchumbia
 
Hapo ndipo Madawa ya kulevya "Unga" hugeuzwa kuwa sukari na chumvi,
 
Kama policcm wanabadilisha madawa ya kulevya kuwa unga wa ngano ama chumvi watashindwa nini kujiibia wenyewe mafaili? Kama laptops zinawahusu wezi wa fedha katika mabenki basi kuna policcm watakuwa wameshavuta bingo ya kueleweka na wao wakaamua kuharibu ushahidi ili kuwanusuru majambazi wenzao.
 
Hakuna wizi polisi ni amri za wakubwa. wale wazee wa amri moja kama kwenda kuchumbia

Eti ee? Haiwezekani wezi kubunja police central. Sijui ni kwanini JMK hajawatia ndani askari wote wa Mwanza akianza na RPC. Hii ni aibu na fedheha.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Wasitufanye Wanainchi hatuna akili, hiyo ni issue wamepanga wenyewe. Hakuna jambazi anatia mguu hapo
 
Kosa letu waTz kupuuza maneno ya Nyerere, na uupuzi ukaendelea kwa EL kuwa PM, Upuuzi mkubwa mtu tunaye muheshimu akasema ETI NI CHAGUO LA MUNGU naye atuombe radhi, maneno ya Nyerere yakasimama kama mkuki juu yetu. Siku nyingine tukiambiwa KIJANA HAJAKUWA tuelewe sio mpaka maneno kavukavu, Nyerere unadhani if there is life after death anawambia nini Wenzake huko, Wanamcheka na TZ yake, ndo maana suala la Serikali 3 linakuja upya ili huyu baba wa taifa la TZ apotee kabisa. ni aibu kwakwe heri apotee, maana watz hatukumwelewa hadi mauti yanamkuta.
 
fikirikwanza
 
Last edited by a moderator:
Kama policcm wanabadilisha madawa ya kulevya kuwa unga wa ngano ama chumvi watashindwa nini kujiibia wenyewe mafaili? Kama laptops zinawahusu wezi wa fedha katika mabenki basi kuna policcm watakuwa wameshavuta bingo ya kueleweka na wao wakaamua kuharibu ushahidi ili kuwanusuru majambazi wenzao.

Uhusika wa polisi ni mkubwa! Manake hizo ATM zinalindwa na polisi. Ni mashine zinazoibiwa fedha ni zile zinazotumika sana na wateja so ziko mijini na sehemu open kabisa.

na ili mtu aweze kuiba lazima atangulie kwenye mashine atege mambo yake then watu wengne watakaofatia wataona ni network au system failure! Kumbe pesa imetoka na risiti unapata ila hela ndo haitoki.

kazi ya polisi wanao guard hzo ATM ni kuwaambia wateja system mbovu ili wasiweke jam! Mwishowe ndo mhusika anakuja kuchukua chake na kumpooza askari anaelinda mashine.
 
Back
Top Bottom