Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

Siri yafichuka wizi wa kompyuta polisi

Mwanza. Siri za wizi uliotokea Makao Makuu ya Polisi mkoani Mwanza zimeanza kuvuja ambapo imebainika kuwa kompyuta aina ya laptop zilizoibwa ndani ya chumba cha vielelezo zilikuwa za ushahidi wa kesi ya wezi wa mashine za kuchukulia fedha(ATM).Katika wizi huo wa benki ambao ulifanyika kwenye mashine za ATM mbalimbali na watuhumiwa watatu kunaswa Februari 10, mwaka huu saa 6 usiku wakiiba kwenye ATM za NMB,Tawi la PPF Plaza, Polisi walinasa vitu vingi vya watuhumiwa hao ikiwa ni pamoja na kompyuta mbili ambazo zinadaiwa kuibwa kituoni hapo juzi.Habari zilizopatikana kutoka ndani ya Polisi zimeeleza kwamba katika wizi huo uliotokea katika maghala ya Polisi, moja kati ya vifaa vilivyoibwa ni mafaili mbalimbali ya vielelezo kadhaa vya kesi zinazochunguzwa na polisi ikiwa ni pamoja na laptop hizo ambazo zilikuwa ni ushahidi kwa kesi hiyo ya wizi wa ATM.Kamanda wa Polisi mkoani Mwanza, Ernest Mangu alipoulizwa kuhusiana na vielelezo vilivyoibwa Polisi, alikanusha kwamba laptop hizo zilikuwa kielelezo cha kesi za wizi wa fedha katika ATM lakini pia hakuwa tayari kueleza zilikuwa za kesi gani.Wakati Kamanda huyo akikanusha baadhi ya askari ambao wanahusika na uchunguzi huo wamedai kuwa wizi huo uliendeshwa na maofisa wa polisi wasio waaminifu na kubainisha hakuna wizi unaoweza kufanywa na watu kutoka nje ya polisi.
Mkuu wala hili alihitaji akili za ziada kung'amua kinacho endelea, tangu lini RAIA wakawa na ujasiri wa kuvamia na kuvunja ghala la POLISI na kuchukua/iba vielelezo muhimu vya kuendeshea KESI! Huu ni mchezo wa kuigiza.
 
Ni bahati mbaya kwamba kuna hili kundi la Majambazi yanayoshirikiana na Ccm kuua,kuibia,kupora,kunyang'anya,kubambika kesi,kutesa raia,kushiriki siasa chafu,ubakaji na uzandiki mwingi kujiita polisi!!Natamani siku tuamke tukute maiti za polisi wakiliwa na ndege barabarani nitafurahi sana na ipo siku maana tumeshuhudia JWTZ wakitesa raia mtwara na wao wakafa 7 kule Darfur Sudani ikiwa ni sehemu ya Kisasi tulicholipiwa na Mwenyezi Mungu juu ya uuaji unaoendelea pale Mtwara habari zilizopo ni kwamba hata hao waliobaki wanaweza kufa wakati wowote maana wamejeruhiwa vizuri sana...Yap ni habari nzuri maana dada binamu yangu aliuawa akiwa mjamzito na hawa watanzania wenzetu hivyo tulie misiba wote
[MENTION][JFMP3][/JFMP3][/MENTION]

Nikweli mzee japo wanasema nchi hii ni salama lakini hatuko salama kabisa, kama imefikia mtu kuchukuliwa nyumbani na askari kesho yake anakutwa mochuari kweli tuko salama?
 
Back
Top Bottom