Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,026
- 20,513
Taarifa toka viunga vya Lumumba zinathibitisha kuwa Rais ameamuru kura ya maoni iwe Januari 2015.
Vikao vya CCM vinavyoketi vinaendelea kupanga mikakati yakupitisha katiba yao ya CCM, mtoa taarifa anasema "kazi tushamaliza, na Januari nikuhitimisha tu".