Siri yafichuka, kura ya Maoni ni Januari 2015

Siri yafichuka, kura ya Maoni ni Januari 2015

Binti mbona Leo unawashwa mapema Sana? Nani huyo kakuacha njiani maana hii desperation sio bure hadi unaamua kuzifuata huku kwetu wanasiasa

Kwani mods wamekataza nisije huku naona mnaongea mambo ambayo tayar yalishakuwa waz jamani loh.... Njoo nikune basi
 
Kwa jinsi unavyoenzi juice na kuiona kama "tunu" siwezi shangaa kama mtu atakupa juice na ukakubali ufanyiwe yale mambo aliyoyapiga marufuku Museveni kule Uganda.

Huyu jamaa wakuja sana, mtu mzima unakaaje kuongelea habari za juice? Huu ni ulimbukeni, huenda anaona juice ni kitu cha ajabu sana maishani mwake.
 
Taarifa toka viunga vya Lumumba zinathibitisha kuwa Rais ameamuru kura ya maoni iwe januari 2015,

Vikao vya ccm vinavyoketi vinaendelea kupanga mikakati yakupitisha katiba yao ya ccm, mtoa taarifa anasema "kazi tushamaliza, na januari nikuhitimisha tu"

Ngoja nianze kunoa kidole GUMBA
 
Last edited by a moderator:
swali la msingi: Wananchi watakuwa wameelimishwa vya kutosha kuhusiana na rasimu hii?
 
Kwako wewe hiyo nayo siri kumbe watu wengine pasua kichwa hili suala tunajua kuwa linakuja mapema kabla jk hajamaliza mda wake eti kwako siri.
 
Naamini ndani ya ccm kuna wenye akili pia, tusisahau hata mwanasheria mkuu wa Zanzibar ni ccm lakini alishindwa kuisaliti nafsi yake!
Hii katiba yao watatumia nguvu, pesa na wataipitisha lakini tusisahau kila kinachofanyika kinaenda tofauti na ukweli na uhalisia wa mambo.
Hakuna haja ya kudhani kuwa mpaka ashinde mpinzani kuwa rais ndio mchakato wa Katiba halali uibuliwe upya bali hata ndani ya ccm atakuja mtu ambaye baada ya kuuvua unafiki na ujinga uliopo sasa. Hilo likitokea hakuna atakayekuwa tayari kutafuta maoni upya mbali na hii rasimu ya Jaji Warioba.
Hayo yote yakishatokea ndipo JK atakuwa ameingia kwenye historia ya nchi kama tulivyosherehekea jana kama aliyekuwa kiongozi wa aina yake Tanzania!
 
swali la msingi: Wananchi watakuwa wameelimishwa vya kutosha kuhusiana na rasimu hii?
Watakuwa wamepata elimu nzuri sana mpaka sasa elimu inaendelea kutolewa katika maeneo mbalimbali.
 
Wewe umetoka kwenye familia maskini huna elimu hutaki kusoma hutaki kuelewa tabu tu

Acha ulevi dogo, unaweza kua na elimu lakini hukuelimika na unaweza kua umesoma na bado ukawa mzigo tu kwa jamii inayokuzunguka. Aliyekupa wewe ndiye aliemnyima yeye. Chunga sana hizo kauli zako, maisha ni mlima wengine wanapanda wengine wanashuka. Kama wewe leo upo juu basi usindhalilishe aliye chini, wangapi walikua nazo leo hawana? Na wangapi hawakuwanazo leo wanazo? Be careful, mae zako.
 
Taarifa toka viunga vya Lumumba zinathibitisha kuwa Rais ameamuru kura ya maoni iwe januari 2015,

Vikao vya ccm vinavyoketi vinaendelea kupanga mikakati yakupitisha katiba yao ya ccm, mtoa taarifa anasema "kazi tushamaliza, na januari nikuhitimisha tu"

The problem is more a fundamental lack of political education and a poor understanding of democratic principles
 
Tunaposema Rais wetu ni dhaifu huwa tunakuwa na neno la kutusimamia,

Na huu ndio UDHAIFU wenyewe Unasemaje kuwa umeandika Katiba na kuipeleka kwenye kura ya Maoni ilhali vyama vikuu vikuu vya upinzani,viongozi wake, wanaharakati, Viongozi wa dini na makundi mengine kadha wa kadha hayakubaliani na Mchakato husika??

Hivi hawa ccm wanajua wanachokifanya kweli?? Mnashindana na nani hasa.. Hivi hata kwenye Katiba kuna kushinda na kushindwa? Katiba ni Moyo wa nchi ni tunda la maridhiano kwasababu huu ndio mwongozo wa nchi kupiria vyama vyote vya siasa na kila chama cha siasa kinachoshinda Serikali lazima kiape kuilinda na kuiheshimu Katiba husika... Sasa kwamfano Chadema washinde uchaguzi..Watakubali kuilinda Katiba ambayo hawakushiriki kuiandika?? Kwanini hatujatosheka na hasara tuliyoipata kwenye mchakato huu na bado tunatengenrza mazingira ya kuingia hasara nyingine kwa kandika upya Katiba??

Tena hapa haitakuwa hasara ya Pesa peke yake bali hasara ya Vifo na damu za watu kumwagika vitahusika. Kwanini tufike huko

BACK TANGANYIKA

nikweli kabisa mkuu
 
Nimekufatilia post zako nyingi sana.School is not the only source of education,unaonekana una elimu unakosa basic life skills,one of which is the ability to analyze and evaluate current events.
 
Taarifa toka viunga vya Lumumba zinathibitisha kuwa Rais ameamuru kura ya maoni iwe januari 2015,

Vikao vya ccm vinavyoketi vinaendelea kupanga mikakati yakupitisha katiba yao ya ccm, mtoa taarifa anasema "kazi tushamaliza, na januari nikuhitimisha tu"

Kwikwikwikwi,,na bado tunawapiga desemba kwenye serikali za mitaa,,januari kwenye kura za maoni october tunamaliza!!!ukawa mwisho pemba bara kila mtu CCM
 
Acha ulevi dogo, unaweza kua na elimu lakini hukuelimika na unaweza kua umesoma na bado ukawa mzigo tu kwa jamii inayokuzunguka. Aliyekupa wewe ndiye aliemnyima yeye. Chunga sana hizo kauli zako, maisha ni mlima wengine wanapanda wengine wanashuka. Kama wewe leo upo juu basi usindhalilishe aliye chini, wangapi walikua nazo leo hawana? Na wangapi hawakuwanazo leo wanazo? Be careful, mae zako.

This sophisticated understanding can be lacking in some people with certain forms.
There are lots of good ways to insult someone with depression. You need to give some unsolicited advice. Something simple, profound, and potentially life changing.-Just snap out of it lacks imagination.
Just to be clear,shule umemaliza hata la 6?
 
Na una maoni gani kuhusu watanzania wenzako zaidi ya million mbili ambao wana haki ya kupiga kura na probably wako tayari kama wewe ila hawatapiga kama zoezi litafanyika January 2015 ? (Hawajaandikishwa kwenye daftari la kudumu la wapiga kura)

Mimi nipo Tayari kupiga kura ya Ndiyo hata kesho
 
Kama ni hivyo mr.Mapesa CHEYO aliudanganya umma?maana ndiye aliyetoa maazimio ya kikao cha vyama vya siasa na kikwete dodoma
 
Hahahahahaaaaaa! Dhaifu ni Dr Slaa ambaye anashindwa kuoa kila siku kudandia wake za watu

Kilaza kabisa kama kuoa ni sifa basi nenda akuoe ww kwani kuna shida gani majitu km haya huwa yananiudhi
 
Back
Top Bottom