Siri yafichuka: Kumbe Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowassa Wilaya ya Kinondoni

Katika magazeti ambayo huwa sijisumbui kuyasoma ni pamoja na MAWIO na Mwanahalisi. Hakuna hoja yoyote ni upuuzi tu kutoka kwa wapuuzi wakiongozwa na mpuuzi Saed Kubenea

Nakuunga mkono mkuu...

Nilikua ninasoma sana mwanahalisi..lilikua linanyambua sana kuhusu Luwasa na ufisadi wake
Daaah kumbe lilikua haliongei kwa Uzalendo namaslahi ya Watanzania kama nilivyokua nikifikiri.

Sasa mtu aliemuamini/anaeamini kinachoongelewa na Kubenea, Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe na wenzie atakua ana walakini
 
Mtoa mada nimeshamuona muongo muongo tu, kabla ya Uchaguzi kwenye post zake alikua anasema familia ya mzee lowassa ilikuwa inamlalamikia baba yao asiendelee kumpatia pesa mzee apson mwangonde kwa ajili ya shughuli zao za kisiasa halafu juzi akapost tena eti mzee mwangonde hali yake ya kifedha sio nzuri sijui ameuza nyumba zake kumsapoti lowasa kwenye kampeni wkt ni yeye mwenyewe aliyekua anatuaminisha kwenye post zake zilizopita kwamba lowassa ndie mtoaji fedha mkuu sasa kama ni hivyo iweje mwangonde afilisike?Tufanye kazi na JPM majungu na fitina sio muda wake sasa.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowasa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hizo zinasema kuwa Mussa Natty ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa Lowasa kwenda Ikulu kwa wilaya ya Kinondoni na majukumu yake makubwa yalikuwa kuhakikisha Manispaa yake Lowasa anapata kura za kutosha na UKAWA wanapata viti vingi vya ubunge na udiwani. Pia Mussa Natty alikuwa na jukumu la kutafuta fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa kwa wilaya ya Kinondoni.

Taarifa hizo zinasema kuwa miaka miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu, Manispaa ya Kinondoni imetekeleza miradi zaidi ya 15 kwa njia ya kimagumashi lengo likiwa ni kupata fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa.

Makubwa haya

Pumbavu kabisa ww..wakati anafanya hayo serikali ilikuwa wapi? Maji taka hayo
 
Nakuunga mkono mkuu...

Nilikua ninasoma sana mwanahalisi..lilikua linanyambua sana kuhusu Luwasa na ufisadi wake
Daaah kumbe lilikua haliongei kwa Uzalendo namaslahi ya Watanzania kama nilivyokua nikifikiri.

Sasa mtu aliemuamini/anaeamini kinachoongelewa na Kubenea, Tundu Lissu, Mnyika, Mbowe na wenzie atakua ana walakini

Makonda utajiita kila jina na ID lakini Kinondoni lazima uondolewe
 
Mkuu, huwezi kujenga nchi ilhali wengine wanaendelea kutafuna mali za umma

NAsikia na Waziri wa awamu ya 4 wa Uchukuzi yule aliingiza mabehea feki na vichwa vya treni pia kutorosha makontena yasilipe kodi alikuwa timu LOWASA alikusanya fedha ili aweze kumsaidie kuingia IKULU..hii habari inatoka jikoni kabisaa LIZABONI.
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowasa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hizo zinasema kuwa Mussa Natty ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa Lowasa kwenda Ikulu kwa wilaya ya Kinondoni na majukumu yake makubwa yalikuwa kuhakikisha Manispaa yake Lowasa anapata kura za kutosha na UKAWA wanapata viti vingi vya ubunge na udiwani. Pia Mussa Natty alikuwa na jukumu la kutafuta fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa kwa wilaya ya Kinondoni.

Taarifa hizo zinasema kuwa miaka miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu, Manispaa ya Kinondoni imetekeleza miradi zaidi ya 15 kwa njia ya kimagumashi lengo likiwa ni kupata fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa.

Makubwa haya

Nani kakuuliza huu upuuzi?
 
Acha propaganda za kinafiki wewe. Muongo mkuu
 
Hapana Mkuu. Lowasa nimemshughulikia sana hapa JF. Na nitaendelea kumshughulikia mpaka atakaposhughulikiwa na Mahakama ya Majizi na Mafisadi

Mkuu kuna Uzi umeanzishwa unaonyesha DC akimfunga kamba viatu the prince hebu nenda kachungulie utoe na wewe comment zako.
 
Huyu jamaa kumbe naye ni fisadi basi ipo haja ya kumuunganisha kwenye mahakama ya mafisadi akafie jela kabisa.
 
Pumbavu kabisa ww..wakati anafanya hayo serikali ilikuwa wapi? Maji taka hayo
Pole pole mafisadi wataisha tu hata matusi yatawaisha tu natty ni fisadi kama Lowasa nikuwapiga tu ngoja mahakama ije muone.
 
Kweli kabisa List moja na Magufuli Mkondo ule ule Nyumba za serikali Mabilioni ya barabara
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowasa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hizo zinasema kuwa Mussa Natty ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa Lowasa kwenda Ikulu kwa wilaya ya Kinondoni na majukumu yake makubwa yalikuwa kuhakikisha Manispaa yake Lowasa anapata kura za kutosha na UKAWA wanapata viti vingi vya ubunge na udiwani. Pia Mussa Natty alikuwa na jukumu la kutafuta fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa kwa wilaya ya Kinondoni.

Taarifa hizo zinasema kuwa miaka miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu, Manispaa ya Kinondoni imetekeleza miradi zaidi ya 15 kwa njia ya kimagumashi lengo likiwa ni kupata fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa.

Makubwa haya

Umeshajua Natty anakuja KUMTUMBUA jipu Baba Mwanaasha unaanzisha syndicate kwa Lowassa. Tulia jipu LITUMBUKE ili muisome namba!!
 
Lizaboni kwa hiyo unataka tukusaidia nini?huu umbea peleka huko lumumba
 
Last edited by a moderator:
Wadau, amani iwe kwenu.

Taarifa za kuaminika nilizopata kutoka chanzo cha kuaminika ni kwamba, aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni, Mussa Natty ni Katibu wa Friends of Lowasa Wilaya ya Kinondoni. Taarifa hizo zinasema kuwa Mussa Natty ndiye aliyekuwa anaratibu mkakati wa Lowasa kwenda Ikulu kwa wilaya ya Kinondoni na majukumu yake makubwa yalikuwa kuhakikisha Manispaa yake Lowasa anapata kura za kutosha na UKAWA wanapata viti vingi vya ubunge na udiwani. Pia Mussa Natty alikuwa na jukumu la kutafuta fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa kwa wilaya ya Kinondoni.

Taarifa hizo zinasema kuwa miaka miwili kabla ya Uchaguzi Mkuu, Manispaa ya Kinondoni imetekeleza miradi zaidi ya 15 kwa njia ya kimagumashi lengo likiwa ni kupata fedha za kutosha kwa ajili ya kugharamia kampeni za Lowasa.

Makubwa haya

Waache waone haya maana wamefanywa vibaya
 
Back
Top Bottom