Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

Siri ya watu wenye high frequency(aura) na maajabu yake katika maisha

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
427
Reaction score
575
High frequency(aura) ni energy au uwezo ambao mtu anakuwa nao kutoka kwa Mungu( God) au presence of God within.

Kwa nini watu hawa wana high frequency ni sababu ya pure heart(upendo) sehemu yoyote yenye upendo uwa ina high frequency au aura, Mungu ili uwepo ndani yako lazima moyo wako uwe na upendo, pia Mungu atafanya uwe na amani hivyo ni vitu mtu ukiwa navyo utavuta watu(attractive) waje karibu yako bila nguvu.

Kifungu hichi cha bibilia

Wagalatia 5:22–23

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu…

Sifa za watu wenye high frequency(aura)


-wanapendwa na watoto pia wanyama wanakuwa safe karibu yako(awana wasiwasi)

-una iterate toxic people(watu wenye ajenda za uovu like uchawi n.k wanapaniki kwa uwepo wako tu, sababu watu wenye high frequency wanakuwa wamebeba light au nuru hivyo wanawaumbua watu wenye dark energy

Mfano kama umeshaona kuna watu akipost message kwenye group za whatsapp unakuta watu wengi wanaleft, hiyo ni energy mtu aliyonayo akisema kitu au maneno yake au uwepo wake tu una irritate toxic people

-insecurity people wanamchukia sababu ya kuongea ukweli(Truth), high frequency peole maneno yao uwa yana mamlaka.

-stranger au watu ambao awajuani wana share story zao za maisha.
Kuna watu ambao wanakutana na watu mara ya kwanza lakini mtu anafunguka story zake za ndani kabisa ambazo ni ngumu kushare kwa watu wengine, hii ni sababu mtu ana jisikia safe akiwa karibu na hawa watu.

-wanakuwa na ushawishi ambao awaulazimishi(influence), ushawishi wao ni natural
-uheshimiwa bila kutumia nguvu
-attention zinawafuata bila kutafuta
-awaitaji validation kwa kila wanachokifanya
-ni watu wenye nguvu sana(powerful people)
N.k

, , meshatz
 
Back
Top Bottom