Siri ya watoto kupenda maputo

bahati93

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
1,234
2,229
Hello wanajamii,

Waweza kujiuliza maputo yana siri gani mpaka kupelekea watoto kuridhika na kufarijika sana pale wanapopata puto la kuchezea.

Basi nitawaeleza siri ya puto.
Kwanza yakupasa kujua ya kwamba kwenye ulimwengu ambao tumejikuta tunaishi kuna force kuu nne ambazo zinafanya kila ziwezavyo kukusanya pamoja vile ambavyo vimesambaa. Force hizo
  • Force ya gravity
  • Force ya electromagnetism
  • Weak nuclear force
  • Strong nuclear force
Force ya gravity ambayo haina nguvu kulinganisha na nyingine Lakini ina fika mbali Zaidi ukilinganisha na force nyingine.

Kama hapo awali niliposema hizi force lengo ni moja kukusanya kuelekea katikati hivyo basi kunapelekea vilivyopo angani kuwa na shape ya duara kama jua, dunia, mwezi, sayari.

Hili umbo la tufu or spherical ni very special kwa sababu lina sifa moja ambayo ni smallest possible surface area kulingana na force ambazo zinaact. Sasa umbo hili la puto linatokea naturaly kutoka kwenye misingi ya sheria za ulimwengu ambazo kamwe hazitabadilika ni za milele.

Kwa kuwa watoto kwa mbali wana umalaika huwa wanafurahia wanapocheza na kitu kama puto kwa sababu misingi inayosababisha puto ni ya milele.
 
Sijakuelewa hata.
Ooooh
Yani puto kama puto linafanya juu chini liwe na surface/uso?? Mdogo kadiri liwezavyo ili lisipasuke endaoo uso wake utapitiliza viwango, utasikia poof .. Lina bust. Puto linaheshimu sheria za fizikia. Tunaweza sema puto linajua fiziki ndo maana lina umbo la puto,😄
 
Hello wanajamii,

Waweza kujiuliza maputo yana siri gani mpaka kupelekea watoto kuridhika na kufarijika sana pale wanapopata puto la kuchezea.

Basi nitawaeleza siri ya puto.
Kwanza yakupasa kujua ya kwamba kwenye ulimwengu ambao tumejikuta tunaishi kuna force kuu nne ambazo zinafanya kila ziwezavyo kukusanya pamoja vile ambavyo vimesambaa. Force hizo
  • Force ya gravity
  • Force ya electromagnetism
  • Weak nuclear force
  • Strong nuclear force
Force ya gravity ambayo haina nguvu kulinganisha na nyingine Lakini ina fika mbali Zaidi ukilinganisha na force nyingine.

Kama hapo awali niliposema hizi force lengo ni moja kukusanya kuelekea katikati hivyo basi kunapelekea vilivyopo angani kuwa na shape ya duara kama jua, dunia, mwezi, sayari.

Hili umbo la tufu or spherical ni very special kwa sababu lina sifa moja ambayo ni smallest possible surface area kulingana na force ambazo zinaact. Sasa umbo hili la puto linatokea naturaly kutoka kwenye misingi ya sheria za ulimwengu ambazo kamwe hazitabadilika ni za milele.

Kwa kuwa watoto kwa mbali wana umalaika huwa wanafurahia wanapocheza na kitu kama puto kwa sababu misingi inayosababisha puto ni ya milele.
Puto linatengenezwa, hivyo umbo sio la asili bali ni watengenezaji wametaka liwe hivyo.
Bandiko la Kiswahili, ila ulipofikia kuelekea hizo aina nguvu zinazohusiana na puto unaandika Kiingereza, utaeleweka kweli?
 
Kiswahili hakijitoshelezi
 
Ooooh
Yani puto kama puto linafanya juu chini liwe na surface/uso?? Mdogo kadiri liwezavyo ili lisipasuke endaoo uso wake utapitiliza viwango, utasikia poof .. Lina bust. Puto linaheshimu sheria za fizikia. Tunaweza sema puto linajua fiziki ndo maana lina umbo la puto,
Umeamua kumvuruga kabisa
 
Watoto pia wanapenda kulia! kuna siri gani
Kutokana na tafiti niliyofanya kwa takribani miaka 12 nimeweza kujua yafuatayo:-

• Kulia kwa mtoto bei mfumo wake pekee wa kueleza au kutoa hisia zake. (Express) na kinyume chake ni kucheka au tabasamu.

• Kulia kwa mtoto ndio silaha yake pekee katika mkukabiri adui.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom