Siri ya waraka wa Mwakyembe yafichuka; Kisa ni kifo cha ghafla cha mhudumu ofisini kwake

Hapa kwelikweli :embarassed2:, are really great thinkers? With all the coincidences! kwanini wabongo tunakuwa hivyo? Ni wagumu wa kuthubutu, wagumu wa kuamini na ni waogaaaa mno! We needs to stand to the right regardless whether your relative have hands on this issue! Jamani tunalipeleka wapi hili taifa? kwa ushabiki wa kij***nga! Kwa kweli ingewezekana ningehama na kufuta kumbukumbu kuwa na mimi ni Mtanzania if we are this stu**!!!! Inasikitisha na inashangaza.
 
MMungu Anaweza!
wale wote ambao Akili zao zimepanga njama hizo, miguu yote ilioenda kufanikisha, na Mikono iliyo tekeleza! Basi MMungu atafunga vinywa vyao na Kuwafisha vifo vya aibu, huku Dr HM! Akishuhudia mazishi yao, na watoto wao wawe Mayatima, Waume/Wake wao wawe Vizuka/Wagane, na kukosa msaada wanapo ingia na kutoka!
A M I N A!
 
Hapa kwelikweli :embarassed2:, are really great thinkers? With all the coincidences! kwanini wabongo tunakuwa hivyo? Ni wagumu wa kuthubutu, wagumu wa kuamini na ni waogaaaa mno! We needs to stand to the right regardless whether your relative have hands on this issue! Jamani tunalipeleka wapi hili taifa? kwa ushabiki wa kij***nga! Kwa kweli ingewezekana ningehama na kufuta kumbukumbu kuwa na mimi ni Mtanzania if we are this stu**!!!! Inasikitisha na inashangaza.
 

Coincidence ni kitu cha kuangalia sana kwenye maisha, mi huwa siamini kuhusu coincidence
 
Kama kweli huyo binti alikufa katika mazingira ya kutatanisha mwili wake ulifanyiwa uchunguzi baada ya kufariki? Kama mwili haukufanyiwa uchunguzi polisi katika kulifanyia kazi jambo hili (kuugua kwa Dr.) walichukua hatua gani kwani naamini pamoja na mambo mengine naamini walipata taarifa hizi mapema sana. Kama itaamuliwa kuwa mwili wa huyo dada ufukuliwe na kufanyiwa uchunguzi wa kina hilo haliwezekani kufanyika kwa sasa?. Mambo mengine ya kuangalia kwa undani ni mazingira ya huyo dada kuhamishiwa kwenye ofisi ya Dr. Harrison na namna jambo hilo lilivyofanyika, waliohusika katika kufanikisha uhamisho huo ni watu gani ama ulikuwa ni utaratibu wa kawaida.

"UKIONA GIZA NENE FAHAMU KUWA MAPAMBAZUKO YANAKARIBIA"
 
Afrika ndivyo ilivyo, hata akifa Mandela watasema eti na yeye kawekewa sumu na Frederick de Clerk.
Radhia sweety
Kulingana na identity yako,ninapata wasiwasi kwamba huenda ukawa ni mmoja wa wale wanaotumika au mnaofaidika na mfumo fisadi ambao umekuwa ni Janga la kitaifa. Kwa sasa.

Mara nyingi nafuatilia majibu yako humu ndani JF,na huwa nakuta kwa ujumla ni maJibu yanayokera na mzaha tupu,naomba nikuulize Je wewe ni KIMADA WA MMOJAWAPO WA MAFISADI?

Nakusihi kama ndivyo basi elewa baadhi ya mambo unayoyafanyia mzaha humu ndani ,huwa si jambo jema,hasa kama wewe ni mwanafunzi wa ustaarabu naomba umpe ushirikiano zaidi mwalimu wako.
kama sasa hivi wanakutumia elewa iko siku watakuchoka na kumpata sweety (majibu yako yanaashiria wewe si sweety bali kero) mwingine badala yako,na hapo ndio huenda yakakukuta kama huyu msaidizi wa Mwakyembe alivyotumika na baadae amepata mshahara wake.(ameuawa ili kuficha ushahidi)
 
kaka wa marehemu sara richard yuko hapa jf na wiki jana alisema kuwa dada yake aliugua gafla baada ya kutoka kazini....na alipopelekwa hosp...tumbo lilikuwa limevimba sana..alipopimwa ikagundulika kuwa mwili mzima umejaa sumu.....na hivyo kushindwa cha kufanya...kaka yake aliyekuwa anamuuguza(jf member) alimuomba daktari amfanyie upasuaji lakini daktari alikataa na kusema hawezi kufanya upasuaji maana mwili mzima umejaa sumu na hajui ni sumu aina gan.....usiku huo huo akafariki dunia
 

Mbona hapo kwenye red bado pananipatia maswali mengi kuliko majibu!,
1. Kama huyo binti (RIP) aliviingiza hivyo vitu bila kujijua, ina maana hakuwa na taarifa zozote juu ya watu waliokuwa na hizo njama. Sasa kwa nini watu hao muue wakati hakuwa na madhara kwao?
2. Kama huyo binti aliviingiza hivyo vitu bila kujijua kwa nini hakutoa ushirikiano namna vitu hivyo vilivyopotea katika mazigira ya kutatanisha?
3. Kama watu hao walikuwa na uwezo wa kuviondoa vitu hivyo katika mazingira hayo bila kujulikana, ina maana walikuwa na uwezo wa kuviweka katika mazingira hayo bila kujulikana. Sasa ni kwa nini walimtumia Bint huyo?

Ugua pole Dr. HM, nina imani ipo siku ukweli utajulikana. Mateso unayopitia hayakwenda hivi hivi kama kuna watu wapo nyuma yake
 
mle kwenye ofc ya mwakyembe wakati dada huyo anahamishiwa hapo yule aliyekuwepo mwanzo hakuondolewa.....alipokuja sara idadi ya wasaidizi wa mwakyembe pale ofcn ikawa wawili...baada ya kazi kumalizika na sara kupotezwa yule msaidizi wake wa awali bado yupo.....
 
unamaanisha ile riport iliyoandaliwa na watuhumiwa?
 

Kuna kibaraka mmoja wa mafisadi humu JF anajitambulisha kama Radhia sweety,namuomba aseme kama na huu ni uzushi.
 

ilichukua mwezi mmoja na wiki mbili kumuandaa huyo dada katika kufanikisha kazi hiyo....na kilichomponza ni kukubali kile kias cha pesa alichoahidiwa......usifikiri alifika hapo bila kujua anachoenda kufanya...yeye hakujua kama akikamilisha kazi hiyo nae atapotea kwenye uso wa dunia
 
Mods naomba mrudishe ile post iliyokuja hapa ikidai Rostam Azizi anahusika na anataka kukimbia nchi,nataka tuilinganishe na huu waraka
 

Mkuu, sikatai juu ya uwepo coincidence za kweli, ila wakati mwingine 'coincidence' hutokea pale tunapo amua kufikiria kitu tunavyotaka kiwe!! Na wakati mingine matukio hupangwa katika namna inayomfanya mtu asiweze kuyaunganisha bali kuyahusianisha katika namna ambayo kwa wepesi itaonekana kama 'coincidence.'
Kinachonishangaza mimi ni namna ulivyoweza kuamua kuchagua kusimama na ripoti ambayo hata yule inayemhusu anadai imepikwa, ni kwa basis ya neno 'kulishwa sumu?' au kuna taarifa hujapenda kutupatia (labda kwa sasa)?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…